Utaratibu wa kupata vibali ya ujenzi kwenye maeneo ya skwata kama mbondole Ilala Dar es Salaam ni halali?

Utaratibu wa kupata vibali ya ujenzi kwenye maeneo ya skwata kama mbondole Ilala Dar es Salaam ni halali?

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,910
Reaction score
7,765
Ukiacha zoezi zima la kuzuia ujenzi usio na kibali kugubikwa na Rushwa, wanaodai kulipia hivyo vibali wanadai wamelipa mkononi bila kupewa control number.

Lakini kisheria ni halali kulipia hivyo vibali kwenye maeneo ambayo yapo kwenye mpango wa kurasimishwa?
Mtu anajenga ukuta wa nyumbani kwake wanakuja watu wanadai wametumwa na mkurugenzi wa Manispaa wanadai kibali. Ukiwapa 50,000 wanakuachia. Ukiwabishia wanachora ukuta Kwa maandishi mekundu ya zuio.
Zuio hilo ni halali?

Kwa nini linafanyika mtaa mmoja tu wa Mbondole pekee Ilala mzima?

IMG_20250622_160436.jpg
 

Attachments

  • IMG_20250622_133020.jpg
    IMG_20250622_133020.jpg
    489.3 KB · Views: 29
Toa rushwa uepushe msongamano mkuu. Au fuata taratibu za vibali uzungushwe miezi mitatu.
 
Back
Top Bottom