Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kufuatia ongezeko la visa vipya vya maambukizi, nchi zimeweka taratibu mbalimbali kwa wasafiri kuingia na kutoka ili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19
"Taratibu hizi ni pamoja na kuweka sharti la kupima COVID-19 ili kupunguza au kuzuia kuingia kwa ugonjwa huu katika nchi hizo"
"Napenda kuwafahamisha kuwa wasafiri wote wanaoishia nchi za Marekani, Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu, baadhi ya nchi za Ulaya na India watatakiwa kufanyiwa kipimo cha haraka (COVID-19 Rapid Antigen Test) kabla ya kuondoka"
"Wasafiri wote wanaunganisha usafiri wa ndege kupitia Tanzania wanapaswa kufanya kipimo cha haraka (COVID-19 Rapid Antigen Test) katika uwanja wa ndege ndani ya masaa 6 kabla ya kusafiri na wapanaswa kuwa na cheti halali cha chanjo ya COVID-19"
——— Prof. Abel Makubi, Katibu Mkuu (Afya)