Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kwani nchi nyingine wanafanyeje? Cha kufanya nimekitaja kwenye post hiyo uliyonijibu. Mathalani Kenya - makanisani barakoa na sanitizer ni lazima. Tunajua jinsi kirusi kinavyoenea na tunajua jinsi ya kuzuia. Siyo fair kuacha kirusi kiondoke na wazee wetu na kubaki vijana tu. Kwamba mwenye kufa afe, atakayebaki abaki?
Lakini tungefanyaje tofauti kwa mfano? Hakuna njia mbadala ya kuzuia haya magonjwa ya kuambukizwa kwa hewa na kulazimisha tubadilishe lifestyle yetu ili tusipate hii corona ni kujidanganya tu.