Utaratibu wa kusafirishia dagaa nje ya Tanzania

Utaratibu wa kusafirishia dagaa nje ya Tanzania

waziridagaa

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
18
Reaction score
24
Darasa la buree wafanya biashara wenzangu.

Utaratibu na vitu vinavyo hitajika.

1. Inatakiwa kuwa na tin namba na leseni ya biashara kutoka tra.

2.Inatakiwa uwe na leseni ndogo ya kusafirisha dagaa ndani ya tanzania.

3. Inataki kuwa na kibari ya kusafisha mzigo wa dagaa kutoka wizara ya mali asili.

Baada ya hapo kupata hela ni inje inje kwani kuna inchi kama Congo dagaa wanahitajika sanaa.

Karibu sana kwa wanao hitaji dagaa mwanza kirumba mwaloni. Mawasiliano .0755213580.
 
Shida ni uandaaji wa dagaa. Unakuta mtu anawabanika dagaa anawaacha wanalambwa na nzi. Ukiwapakia tu unakuta Yale mainzi yaliacha funza kwa dagaa zinafika zimeoza.
Uandaaji ukoje. .
 
Shida ni uandaaji wa dagaa. Unakuta mtu anawabanika dagaa anawaacha wanalambwa na nzi. Ukiwapakia tu unakuta Yale mainzi yaliacha funza kwa dagaa zinafika zimeoza.
Uandaaji ukoje. .
Mmh ndugu dagaa wapi hao,,dagaa wa mwanza au bukoba hawabanikwi
IMG_20221114_104701.jpg
 
Sawa ila maandaliz unakuta wanaanika nzi wanawadandia. Basi nzi wanaacha masalia ukienda kutuma kwa njia ya posta unakuta hazifiki zinaamza kutoa funza. .

Nasema hivi coz Kuna mshikaji wangu alikuwa ananunua sardines anawatuma Japan. Biashara ilimshinda coz maandaliz ya kuwahifadhi yalikuwa yanafeli. Hebu tupe ujuzi kuwa hao wanaweza Kaa mda gani bila kuharibika. .

Mmh ndugu dagaa wapi hao,,dagaa wa mwanza au bukoba hawabanikwi View attachment 2416651
 
Darasa la buree wafanya biashara wenzangu.

Utaratibu na vitu vinavyo hitajika.

1. Inatakiwa kuwa na tin namba na leseni ya biashara kutoka tra.

2.Inatakiwa uwe na leseni ndogo ya kusafirisha dagaa ndani ya tanzania.

3. Inataki kuwa na kibari ya kusafisha mzigo wa dagaa kutoka wizara ya mali asili.

Baada ya hapo kupata hela ni inje inje kwani kuna inchi kama Congo dagaa wanahitajika sanaa.

Karibu sana kwa wanao hitaji dagaa mwanza kirumba mwaloni. Mawasiliano .0755213580.
 
Acha kudanganya watu, wewe uko kirumba upakie ubaki hapo unakunywa kahawa na akina jamal na balozi huku Tandam iko njiani na mtu masoko hayajui, kasumbalesa hajawahi kufika, lubumbashi haijui, goma haijui, unatakiwa ueleze mzigo aufuate lushonga, au mulumo au mchangani au gana au gozba na je hali ya mvua ikoje visiwani, aina ipi ya dagaa kwa sasa inatoka furu, dagaa ya mchanga au ipi,? Je ni kubwa au size ya kati na je akishindwa kwenda nje akauzie tunduma? Soko likoje? Ukitaja biashara usidhani watu wote mbumbu hawajawahi kufanya uwe unaeleza vizuri na changamoto ni zipi
Hivi tofauti dagaa wa mchanga na wasio na mchanga si inakuja kwenye uanikaji tu?Kama lushonga wengi wa mchanga kw kua wanaanika chini,wachache wanatumia vichanja
 
Nilikua nampa dodoso mtoa mada aeleze vizuri biashara ikoje lakini naona haijui kabisa inafanyika namna gani mwa masoko ya nje, ngoja ajipange tumsubiri
Thats true. Lakn wakat anajipanga ingependeza kama wewe pia ungetoa uzoefu wako kwa wapendwa..
Sio lazima pia..
 
Vipi kuhusu mitaji. Je kusafirisha nje ni kwa kuchangia gali au ni mtu mmoja anajaza gali. Maana Kuna wenye mitaji midogo naomba ufafanuzi
 
Back
Top Bottom