Utaratibu wa kusajili ardhi sehemu ambapo tayari kuna nyumba

Igwachnya

Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
80
Reaction score
20
Heshima mbele sana wakuu.

Kama ilivyoelezwa kwenye kichwa cha habari hapo juu, naomba kujuzwa utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili kuweza kusajili eneo ambapo tayari kuna nyumba na watu wanaishi. Inawezekana kusajili Ardhi ikiwa ni pamoja na nyumba hiyo?

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 

Inaruhusiwa kwani usajili na umiliki ni wa ardhi tu na iwapo kuna nyumba basi kisheria huhesabika kama ardhi iliyoendelezwa
 
Inaruhusiwa kwani usajili na umiliki ni wa ardhi tu na iwapo kuna nyumba basi kisheria huhesabika kama ardhi iliyoendelezwa


Ahsante sana mkuu... Sasa utaratibu wa kusajili ardhi iliyoendelezwa ukoje?
 
jamani mje basi wajuzi wa mambo ya ardhi, akina sie tumejenga kibanda na tushahamia, lkn hatuna ht doc 1
 
Taratibu zinatofautiana kulingana na Aina ya hyo Ardhi yaani na maanisha iko katika Ardhi ya kijiji ( village land) au ni Ardhi ambayo ni surveyed land ( imepimwa) kama hyo Ardhi imepimwa nenda mamlaka husika means nenda ofisi za ardhi ukathibitishe umiliki wako then watakupa utaratibu wa kupata R/O lakini kama hyo Ardhi yako ipo katika village land nenda ktk ofisi za kijiji kupitia village council watathibitisha umiliki wako utapewa barua kuthibitisha huo umiliki wako then unaweza kuenda ofisi za ardhi ukajipatie Hati ya Ardhi ya Mila HAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…