Heshima mbele sana wakuu.
Kama ilivyoelezwa kwenye kichwa cha habari hapo juu, naomba kujuzwa utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili kuweza kusajili eneo ambapo tayari kuna nyumba na watu wanaishi. Inawezekana kusajili Ardhi ikiwa ni pamoja na nyumba hiyo?
Natanguliza shukrani zangu za dhati