Kamati ya Maandalizi ya Maandanano ya Maombolezo, yaliyopangwa kufanyika kote nchini Tanzania octoba 29 inatarajiwa kutoa utaratibu wa Maandamano hayo kwa kila mkoa wa Tanganyika
Mratibu wa Maandamano hayo ya amani ambaye yuko Dodoma, anajipanga kuweka wazi ruti ya kila Mkoa mahali pa kuanzia na pa kumalizikia, japo zipo Wilaya kadhaa zilizopewa hadhi ya mikoa ili kuzienzi kutokana na kuathirika kwa kiasi kikubwa na yaliyotokea kipindi hicho, zaidi ya watu elfu 17 waliuawa kwa siku 3 pekee ili kulinda ccm kwenye uchaguzi ule haramu
Bali hakutakuwa na Kiingilio watakachochajiwa waandamanaji hao kama kinachofanyika kwenye Mbio za Marathon Nchini Tanganyika
Usiondoke JF kwa Taarifa kamili
UJUMBE: WENYE NCHI NI WANANCHI