Utaratibu wa Kushiriki maandamano ya Maombolezo ya Octoba 29 kuwekwa wazi wiki hii

Kamati ya Maandalizi ya Maandanano ya Maombolezo, yaliyopangwa kufanyika kote nchini Tanzania octoba 29 inatarajiwa kutoa utaratibu wa Maandamano hayo kwa kila mkoa wa Tanganyika

Mratibu wa Maandamano hayo ya amani ambaye yuko Dodoma, anajipanga kuweka wazi ruti ya kila Mkoa mahali pa kuanzia na pa kumalizikia, japo zipo Wilaya kadhaa zilizopewa hadhi ya mikoa ili kuzienzi kutokana na kuathirika kwa kiasi kikubwa na yaliyotokea kipindi hicho, zaidi ya watu elfu 17 waliuawa kwa siku 3 pekee ili kulinda ccm kwenye uchaguzi ule haramu

Bali hakutakuwa na Kiingilio watakachochajiwa waandamanaji hao kama kinachofanyika kwenye Mbio za Marathon Nchini Tanganyika

Usiondoke JF kwa Taarifa kamili

UJUMBE: WENYE NCHI NI WANANCHI
Kazi yako ni kuwachochea wenzako wewe maandamano unafanyia online kwa keyboard!!
 
Kamati ya Maandalizi ya Maandanano ya Maombolezo, yaliyopangwa kufanyika kote nchini Tanzania octoba 29 inatarajiwa kutoa utaratibu wa Maandamano hayo kwa kila mkoa wa Tanganyika

Mratibu wa Maandamano hayo ya amani ambaye yuko Dodoma, anajipanga kuweka wazi ruti ya kila Mkoa mahali pa kuanzia na pa kumalizikia, japo zipo Wilaya kadhaa zilizopewa hadhi ya mikoa ili kuzienzi kutokana na kuathirika kwa kiasi kikubwa na yaliyotokea kipindi hicho, zaidi ya watu elfu 17 waliuawa kwa siku 3 pekee ili kulinda ccm kwenye uchaguzi ule haramu

Bali hakutakuwa na Kiingilio watakachochajiwa waandamanaji hao kama kinachofanyika kwenye Mbio za Marathon Nchini Tanganyika

Usiondoke JF kwa Taarifa kamili

UJUMBE: WENYE NCHI NI WANANCHI
Litakuwa jambo jema kuweka ratiba yenu mapema ili na Serikali ijioange mapema kuwashughulikia!
 
Hii inaonekana mara hii mmekaa kiutamu sana yaani mambo ni kimya kimya mpaka siku ifike wanabaki 🙄🙄 ..wako wapi, wamepita wapi🙄🙄 ..safi sana
 
Back
Top Bottom