MAKUNENGO
Member
- Oct 25, 2014
- 69
- 6
hivi ni Tz hii ya mwl ya Jk Nyerere ndio ambayo imebadilika hivi? mpaka leo sitak kuamini watu wote waliokosa mkopo hakuna hata :hail:tamko Rasm lililotolew la kutia moyo sisi wana wa jangwani kuhusu muafaka wetu. oky ntahairisha mwaka wa masomo lakin kama kuna watu wamechota fungu letu la mkopo na mungu atawaona, wacha nikawajibike kwa uaminifu uko mtaani....