Utaratibu wa kutafutiwa Mke urudi kwenye jamii?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ulimwegu wa sasa umekuwa na Ndoa zinazovunjika kila uchwao na ukiangalia sababu kubwa ni kutofahamiana na kuchunguzana kabla ya Ndoa.

Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiwa wake na wazazi na ndoa zilidumu kwasababu kulikuwa na uchunguzi wa tabia kabla ya ndoa.

Swali : Swala la kijana kutafutiwa Mke lirudi tena au vijana waendelee kujitafutia wenyewe?
 
zama zimebadolika, unadhani wazee wa 2020's ni sawa na wazee wa miaka ya 1980's?
 
Reactions: jo5
Kila mtu atafute mwenye na apambane na Hali yake
 
Tafuta mwenza mwenyewe, oa/olewa mwenyewe, penda mwenyewe. Jamii ikupe ushauri tu ambao sio lazima kuufuata pia.

Jamii ya sasa ni changamoto
 
Vijana waambiwe ukweli kwamba ndoa sio lazima, wanaweza kuishi maisha ya furaha bila ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…