Kasheshe Mpauko
Member
- Jul 23, 2014
- 18
- 16
TANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua chake. Kwa kweli mje tu mniunganishie huduma maana nawaza mbali sana