Kasheshe Mpauko
Member
- Jul 23, 2014
- 18
- 16
Ndugu Mteja,TANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua chake. Kwa kweli mje tu mniunganishie huduma maana nawaza mbali sana
Kama ndio hivi safiNdugu Mteja,
Tunashukuru kwa kuchagua kuwasiliana na TANESCO, tafadhali tupatie taarifa zako inbox au hapa kwa huduma bora, usitoe wala kupokea rushwa kwa kuwa huduma zetu zinautaratibu mzuri,tafadhali onesha
Simu
Jina
Wilaya
Namba ya ombi
Kwa hatua zaidi
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Mchome mchomeeeTANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua chake. Kwa kweli mje tu mniunganishie huduma maana nawaza mbali sana
Unajidanganya. Hizo hela za moto zinaweza kukuunguza mwenyewe. Tanzania ni zaidi ya uijuavyoYaan wakiendelea hivi ndicho nitakachokifanya. Siez lipia ela nyingi hivo af nije nimpe mtu ela bure. Nitawakamatisha za moto ziwatokee kwenye matundu yote ya mwili. Huruma huzaa zambi
Ndugu MtejaMi mwwnyewe nliamua kutoa laki zangu 5 niweke sola kwenye nyumba yangu mpya sababu tanesco hawaeleweki nishaomba kuwekewa umeme 3months ago hadi sasa hakuna kinachofanyika
Aah we!Unajidanganya. Hizo hela za moto zinaweza kukuunguza mwenyewe. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
Kuwapooza sio lazima mkuu. Na kutokuwapooza isiwe sababu ya kukunyima haki yako ya msingi. Ukitoa unatoa kwa moyo na bila kuombwa apo tutasema umepoozwa unakuta mtu anakwambia laiv kabisa nahitaji 123 afu niite apo nimewapooza?Toa kidogo boss sio kwamba unatoa rushwa ni kuwapooza vijana wanaokuja kufanya hiyo kazi ya kubeba minguzo mizito kusimikia na kuunga umeme ,afuu hawanaga shida ukitafuta laki tu au chini ya hapo watajituma kukupa huduma
Mie kwa upande wangu lazima nitoe posho watu wafanye kazi na kuwapooza maana hizi kazi bila motisha haziendi ,ingawa nikutie moyo tu umeme watakuunganishia tu hata bila hiyo posho yako endelea kusubiri zamu yako.
Ndugu afisa,Ndugu Mteja
Tafadhali tupatie taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Simu
Eneo
Wilaya
Namba ya ombi
Tatizo
Ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja
SIMU 0748550000
Kutoa tip yani asante ni muhimu tena kwa kile mtu amefurahi nayo ila kwa hawa watu wa TANESCO wanadai mpaka kero tena wanakupangia kiasi cha kutoa. hawajui huyu anayeomba kuunganishiwa anahaso kuliko hata wao hambao wanalipwa na kodi zetu yani wanadai utafikiri huwa hawalipwi mshahara hata kidogo; inafaa wajue kuwa huyu anaye omba kuunganishiwa ametafuta hiyo hela kwa jasho kwenye jua na mara pengine huyu mteja hujibana hata kutokula ili apate huduma lakini wao wanaomba rushwa vile huyu mtu ni milionea/bilioneaNdugu Mteja
Tafadhali tupatie taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Simu
Eneo
Wilaya
Namba ya ombi
Tatizo
Ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja
SIMU 0748550000
Huwa nafurahishwa sana mtu anasema unalipwa na kodi zetu [emoji23].Kutoa tip yani asante ni muhimu tena kwa kile mtu amefurahi nayo ila kwa hawa watu wa TANESCO wanadai mpaka kero tena wanakupangia kiasi cha kutoa. hawajui huyu anayeomba kuunganishiwa anahaso kuliko hata wao hambao wanalipwa na kodi zetu yani wanadai utafikiri huwa hawalipwi mshahara hata kidogo; inafaa wajue kuwa huyu anaye omba kuunganishiwa ametafuta hiyo hela kwa jasho kwenye jua na mara pengine huyu mteja hujibana hata kutokula ili apate huduma lakini wao wanaomba rushwa vile huyu mtu ni milionea/bilionea
Pole ndugu kwa masahibu hayo,binafsi naona ni tabia ya kukera mno na pia aina hii ya tabia inafaa kuongezewa adhabu na hata jina,isiwe ni aina Oya rushwa tu,bali ni yenye udhalilishaji wa mwenye haki ya kupewa huduma na vifungo viwe ni vya maisha kwa wanaobainika kudai rushwa kwa mtindo huu🥱TANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua chake. Kwa kweli mje tu mniunganishie huduma maana nawaza mbali sana
Komaa tu mkuu weka ki solar chako tulia mwisho walikuja. Mimi walinisumbua sana nikaandika humu kwenye ile thread yao, unatoa maelezo ya kutosha eneo, mtaa, wilaya mkoa alafu wanakuambia tafadhari tutajie eneo na namba za simu. Nikakomaa tena ile ilikuwa kipindi cha Magu wakati wa laki na ishirini, lakini nilisema sitoi rushwa. Siku walivokuja wakasimika nguzo barabarani wakaunganisha umeme wakaondoka. Ni kasema kwa sababu umeme unawaka ngoja ikae. Wanazingua. Vumlia lakini usiwape rushwa, tunalipa kodi kibao bado huduma tena utoe rushwa.TANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua chake. Kwa kweli mje tu mniunganishie huduma maana nawaza mbali sana
Unajua ukiwa unafikira hafifu utamwona huyu jamaa kaongelea bonge la point. kwani huyu mfanyakazi mshahara anayelipwa serikali imepata pesa wapi? kodi ya 18% ya mshahara wake ndo itamlipa yeye? kiasi cha VAT anayokata ni ndogo kujilipa ndo maana tunasema analipwa na kodi zetu tena inaonekana wew ndo walewale wakuomba rushwaHuwa nafurahishwa sana mtu anasema unalipwa na kodi zetu [emoji23].
Wakati hata yeye kazi anayofanya anakatwa kodi.
Mtu anayelipwa na kodi ya mwingine ni yule asiyefanya kazi.
Mtu kafanya kazi jasho limemtoka taasisi husika imepata faida na sehemu ya faida ndio imelipa Mshahara na bado amekatwa kodi halafu mtu mmoja anakuja na kusema Hujui kwamba unalipwa na kodi zetu Ahhhh.
Zile familia ambazo zinauchumi mdogo na wanapata chochote kutoka serikalini kupitia TASAF wale ndio wanakula Kodi zetu.
Kingine nilichojifunza watu wengi hatujui kufuata itifaki kwenye kulalamika. Wewe umeona inakuwa hivyo kwanini usiende kwa Meneja wa eneo hilo?
Wew unaona unalipa kodi? payee ya 3% sijui 6% nayo ndo kodi unayoongelea? acha ujinga wako hukoHuwa nafurahishwa sana mtu anasema unalipwa na kodi zetu [emoji23].
Wakati hata yeye kazi anayofanya anakatwa kodi.
Mtu anayelipwa na kodi ya mwingine ni yule asiyefanya kazi.
Mtu kafanya kazi jasho limemtoka taasisi husika imepata faida na sehemu ya faida ndio imelipa Mshahara na bado amekatwa kodi halafu mtu mmoja anakuja na kusema Hujui kwamba unalipwa na kodi zetu Ahhhh.
Zile familia ambazo zinauchumi mdogo na wanapata chochote kutoka serikalini kupitia TASAF wale ndio wanakula Kodi zetu.
Kingine nilichojifunza watu wengi hatujui kufuata itifaki kwenye kulalamika. Wewe umeona inakuwa hivyo kwanini usiende kwa Meneja wa eneo hilo?
Jibu hoja acha makasiriko.Wew unaona unalipa kodi? payee ya 3% sijui 6% nayo ndo kodi unayoongelea? acha ujinga wako huko