Nguku Wakabange
Member
- Oct 27, 2021
- 61
- 113
unajua wew jamaa ni hewa kabisa, unajua wew hauelewi kitu yeyote. haujui hata vyanzo vya mapato ya serikali na kutokana na hivyo vyanzo ndo mnalipwa nyie wajinga mlioajiriwaJibu hoja acha makasiriko.
Ungesema mtu analipwa kutokana na wewe kuwa mteja kwakuwa unapeleka pesa pale ningeelewa. Suala la kukatwa kodi ndio imlipe mshahara nakataa. Kodi inakazi nyingine ya maendeleo wewe Kuku.
Pole sana Kuku. Inaonekana ni mtu wa hasira sana hupendi kuambiwa ukweli.unajua wew jamaa ni hewa kabisa, unajua wew hauelewi kitu yeyote. haujui hata vyanzo vya mapato ya serikali na kutokana na hivyo vyanzo ndo mnalipwa nyie wajinga mlioajiriwa
Utasubiri sanaa mkuuKuwapooza sio lazima mkuu. Na kutokuwapooza isiwe sababu ya kukunyima haki yako ya msingi. Ukitoa unatoa kwa moyo na bila kuombwa apo tutasema umepoozwa unakuta mtu anakwambia laiv kabisa nahitaji 123 afu niite apo nimewapooza?
Mmejibu vizuri. Customer care ya headquoter ipo vizuri. Sasa na huyu anayezungusha si mleta mada awapatie jina la mfanyakazi wenu anayeweka urasimu mumshughurikia, kwa uchunguzi zaidi. Mana yawezekana kuna ambao wanasumbuliwa na hawsjui nnia ya kulalamika kama hii aliyotumia huyu bwanaNdugu Mteja,
Tunashukuru kwa kuchagua kuwasiliana na TANESCO, tafadhali tupatie taarifa zako inbox au hapa kwa huduma bora, usitoe wala kupokea rushwa kwa kuwa huduma zetu zinautaratibu mzuri, tafadhali onesha
Simu
Jina
Wilaya
Namba ya ombi
Kwa hatua zaidi
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Mkuu samahani sana siwezi kukosea kukupa taarifa kwa sababu kadhaa nina experience na hii kituNdugu Mteja,
Tunashukuru kwa kuchagua kuwasiliana na TANESCO, tafadhali tupatie taarifa zako inbox au hapa kwa huduma bora, usitoe wala kupokea rushwa kwa kuwa huduma zetu zinautaratibu mzuri, tafadhali onesha
Simu
Jina
Wilaya
Namba ya ombi
Kwa hatua zaidi
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Mpendwa mteja unaweza kutuandikia kupitia TANESCO WHATSAPP 0758346869Mkuu samahani sana siwezi kukosea kukupa taarifa kwa sababu kadhaa nina experience na hii kitu
Nishawahi kutoa taarifa kwa rpc kuhusu bis kujaza abiria, mwisho wa siku mwwnye bus akatumiwa namba naye akaituma kwa konda, konda akaanza kunitafuta baada ya kup8gwa fine, ilibidi niteremkie njiani robo ya safari coz nlikuwa natoka mwanza naenda musoma, jamaa walikuwa wanaseme tukikupata tunakukata mapanga.
Wewe sikujui naweza kukupa taarifa ndo nikaharibu hadi mahusiano na jirani yangu ambaye ndo kishoka wao
2. Hawa watu wana familia nikiwachoma wakafukuzwa kazi familia zao zitateseka.
Kwa taarifa hii jaribuni kuweka usimamizi mzuri wa mjukumu yenu ila sio kushughulika na tatizo langu peke yangu. Naamini kuna watu wengi wanapatwa na shida kama yangu hawana pa kusemea.
TANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua chake. Kwa kweli mje tu mniunganishie huduma maana nawaza mbali sana
Toa kidogo boss sio kwamba unatoa rushwa ni kuwapooza vijana wanaokuja kufanya hiyo kazi ya kubeba minguzo mizito kusimikia na kuunga umeme ,afuu hawanaga shida ukitafuta laki tu au chini ya hapo watajituma kukupa huduma
Mie kwa upande wangu lazima nitoe posho watu wafanye kazi na kuwapooza maana hizi kazi bila motisha haziendi ,ingawa nikutie moyo tu umeme watakuunganishia tu hata bila hiyo posho yako endelea kusubiri zamu yako.
Sasa kama hulipendi shirika iweje tena ukaombe umeme au ulipe hiyo control number uliopatiwa? Si ungeendelea na Solar yako tu Mkuu?Kati ya mashirika siyapendi ni tanesco ikifuatiwa na idara ya maji ni wahuni wala rushwa wakubwa. Mimi nipo kwenye mradi nliomba umeme mwezi wa nane nikaambiwa eneo langu lipo kwenye mradi hivo tanesco hawahusiki, watu wa mradi wana kishoka dalali wao bila yeye hupati umeme, nikaambiwa ili waniwekee umeme kwa elf 25 lazima nitoe rushwa ya 230000 ndobwalete nguzo kwani nguzo zimeisha. La sivyo nisubirie umeme wa laki 8 mradi ukiisha, Mm huwa sitaki ujinga nikaenda dukani nikanunua sola nikafunga umeme nikawambia mkijissikia kufunga umeme fungeni. Basi bwana sijui walikuja wakamtongoza nn mke wangu akaelewana nao wakaleta nguzo sijui waliiba wapi akawaahidi laki 2.3 wakala advance ndo wakaleta nguzo leo ina miezi 2 imelazwa kiwanjani kwangu. Nikamwambia wanafanya kuby time wameiiba hiyo isipotafutwa ndo itafungwa ikitafutwa watakuja kuichukua na elf 50 ulotoa itakuwa imeliwa. Juzi wameleta control number ya elf 25 nailipa wakifunga umeme imekula kwao siwapi hata chapa
Nimelipia 515,000/- mwezi wa kwanza mwanzoni mpaka leo hawajfika kuniunganishia umeme. Wiki iliopita wananipigia na kunipa stori hazina mbele wala nyuma najua wanataka niingie kingi nawasikiliza tu.TANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua chake. Kwa kweli mje tu mniunganishie huduma maana nawaza mbali sana