Utaratibu wa kutoa talaka upoje?

Punguza chuki
 
Habari za mume kumuua mke wake huwa mnazipenda kuzisikia?
 
Closed wapi wewe?

Mwanaume kushindwa kuishi na mke ni wazi kuwa huyo mwanaume akili hana
Asiye na akili haruhusiwi kufungua kesi ya talaka

Ungeshauri mwanaume akapimwe akili kwanza hospitali ya vichaa mirembe

Swali limepata jibu...

Vinginevyo ulivyoandika hakuna hata kimoja jamaa alichouliza hivyo hakuna haja ya kupoteza wakati na kujaza 'server'
 
Habari za mume kumuua mke wake huwa mnazipenda kuzisikia?
Habari hizo ni nadra sana kuzisikia na ni matokeo ya wanaume wasio na akili kuoa
Mwanaume asiye na akili hatakiwi kuoa.
Kuoa kunahitaji mwanaume mwenye akili sio jinga jinga.Hayo majinga jinga ndio huua
 
Ntakupa mbinu ya kutoa talaka ila nakuozesha dada angu hata bila mahari. mimi nataka sitara ya dada angu.
 
Habari hizo ni nadra sana kuzisikia na ni matokeo ya wanaume wasio na akili kuoa
Mwanaume asiye na akili hatakiwi kuoa.
Kuoa kunahitaji mwanaume mwenye akili sio jinga jinga.Hayo majinga jinga ndio huua
Kwahyo kwa maoni yako watu wakishaoana haruhusiwi kuachana?
 
Swali limepata jibu...

VInginevyo ulivyoandika hakuna hata kimoja jamaa alichouliza hivyo hakuna haja ya kupoteza wakati na kujaza 'server'
Humu ndani watu wamedakia na kuanza kutoa ushauri wa aanzie wapi kutoa talaka? Wanamjua huyo wanayemshauri aanzie wapi process za talaka kama ana akili timamu?

Swali la kwanza alitakiwa kuulizwa ninje una akili timamu mleta mada?

Mimi nimeanzia kumchambua huyo mtaka kutoa talaka kuwa akili hana
 
Closed wapi wewe?

Mwanaume kushindwa kuishi na mke ni wazi kuwa huyo mwanaume akili hana
Asiye na akili haruhusiwi kufungua kesi ya talaka

Ungeshauri mwanaume akapimwe akili kwanza hospitali ya vichaa mirembe
Kuna wanawake wanatabia ngumu labda uwe Yesu ndo utaweza ishi nao.
Unaishije na mwanamke aliyekosa malezi mema toka kwa mama yake,nawe ukavamia tu kwa sababu alijifanya malaika ukaingia kingi.
Kunguru afugikiki ndoa ni heshima na utii kama hana je.
 



Ni kweli anachukia kuachana lakini hajakataza kuachana.

Ameruhusu kuachana .

Ingekuwa anachukia kiivyo asingeruhusu kuachana.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikitoka nimetoka, sirudi tena



Hapana utapata mtakaeelewana.

Wala usiseme hutaoa tena.

Yupo ambae mtaelewana na kuchukuliana Penye mapungufu na kuelekezana na kusikilizana.

Lakini ukishamaliza
Mambo ya talaka jipe muda wa kutosha ndipo utafikiria kuanzisha mahusiano polepole huwezi amini utakuja kupata mwanamke mtaelewana mpaka ushangae!

Hiyo hutokea mara nyingi tu.
 
Kama hutajali hebu nitumie picha ya mke unsyetaka kumuacha,huenda mungu kamueusha na mengi aje kwangu,[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]



Unazani swala ni muonekano wa nje ?

Ndio maana wengi huingia mkenge kwa kuangalia nje badala ya kuangalia tabia njema na moyo wa upendo na ustahamilivu.
 
Kama una mchepuko basi huenda ndio aloleta mfaraka wa nyie kutaka kuachana.

Anataka muachane umuoe yeye.

Tafakari.

Michepuko wengi ni wachawi na washirikina.

Ni wachache sana ambao hawarogi wanaume.

Off course hata wake wa ndoa nao wapo wengi tu wachawi na washirikina sana tu.

Hasa wale ambao ni tegemezi kiuchumi.

Awe hafanyikazi rasmi kabisa au anafanya lakini kipato kidogo kama rafiki zake Mr. Mpwayungu Village.

Maana anajua ukimuacha hataweza kuishi maisha yenye hadhi mnayoishi akiwa na wewe.

Au la alenge kugawana Mali.
 
Nimekuelewa ndugu, ngoja nimuandikie mana tayari nishamtamkia
Uzi ufungwe Kama umemtakia inatosha ,,,kumuandikia fanya TU Kama unataka aende kwao....lkn kisheria unapaswa kumtenga yaani alale chumba chake na mahitaji ya msingi ayapate Kama chakula na malazi,,...

Ukihisi hutoweza kukaa nae mruhusu aende kwao Ni wajibu wako kumuhudumia kipindi Cha Eda mpk iishe
 
Wazazi pia wao ndio uchangia talaka kwa watoto wao sababu ya malezi mabovu kwa watoto wao. Mzazi mtoto sio wa kwako mtoto kwa mzazi ni mpangaji thus akifika umri anaondoka nyumbani, wewe umepewa na Mungu umlee tu kwa mda, mtoto sio wa kwako. Mtoto yeyeto uliyenae ni mme au mke wa mtu mtarajiwa na kwako yupo tuition kile unachomfunza ndicho anakwenda kupractice kwenye ndoa yake. Ndoa ni copy na paste ya jinsi wazazi walivyoishi labda tu kwa wale wenye hekima ( hekima means MUNGU ndani ya mwanadamu UTU ).Unapomuharibu mtoto means unaharibu ndoa yake atakuwa na tabia ngumu zisizovumilika kifuatacho ni talaka ( shetani ).Na lengo la talaka ni kuharibu future ya watoto au mtoto, shetani Katu hawezi leta talaka bila kuchungulia kesho ya mtoto watoto itakuaje, ukiona talaka tambua kuna mtoto au watoto wako kesho yake ni nzuri ana kipaji talanta ukubwa au kipawa fulani Ili kukisambaratisha shetani uleta talaka wazazi wakishatengana atawawini watoto au mlengwa kwa kukosa malezi ya wazazi (saikolojiko balance) mtoto akikosa malezi ataingia kwenye ulevi, uvutaji, umalaya, ushoga, wizi, nk Ili apate balance. Wote waliongia huko ( inaitwa kuuza nafsi yako kwa shetani ) wamekosa parental control wanafanya hivyo Ili kuitafuta ile saikolojiko balance ( utulivu wa nafsi, amani ya moyo ) Ulezi au uwepo wa baba na mama ni tiba ya magonjwa ya saikolojia kwa watoto na uwafanya wabalance. So lengo la talaka behind the scenes ni kuvuruga kipawa alichonacho mtoto, thus kwa study ni ngumu Sana kupeana talaka kabla amjabahatika kupata watoto au mtoto. Roho ya talaka huwa inakuja kuanzia miaka 5 ya ndoa kuanzia mtoto mmoja maadamu tu awe na kitu Mungu kaweka ndani yake, au unaweza ukazaa watoto wengine mkawq shwali mwenye kipawa akawa mtoto wa nne au kuendelea.Kama Hakuna mtoto mwenye kipawa ndani yake ni ngumu Sana talaka kujitokeza.
So usione hawa machizi, mateja, vibaka, nk mtaani hawa shetani kachukua vipawa vyao na kuwapa wafuasi wake wanufaike navyo kwa kuwaibia wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…