Utaratibu wa kutoa talaka upoje?

Uongo viongozi wengine wa diini hufungisha ndoa tu za dini na kuwapa vyeti vya ndoa vya dini tu husika kama watoavyo vyeti vya ubatizo,kipaimara nk

Sababu hawataki migongano na vitabu vyao vya dini ns serikali Wenginre hufungisha kuwa serikali haina dini kwa hiyo haiwezi toa vyeti vya ndoa ya kidini.

unaongea usichokijua.Kuna watu wana vyeti vya ndoa vya dini tu na hawajassjiliwa ns serikali na hawana huo mpango kabisa wa kusajiluwa serikalini zaidi ya wao kutambuliwa na dini zao tu wamo mashehe,wachungaji mapadri nk kibao hufungisha ndoa za dini husika bila usajili wa serikali na vyeti watoavyo ni vya dini tu.Lengo likiwa kukitokea cha kutoa jambo limalizwe kidini kama ambavyo ndoa ilifungwa kidini

Unaota usidhani kila ndoa ina cheti cha ndoa cha serikali na ina mpango wa kuwa nacho

Hata wewe ukitaka kamuombe kiongozi wako wa dini kuwa unataka ndoa ya kidini tu ns akupe cheti cha ndoa cha dini yako tu atakufungisha na kukupa ukikidhi vigezo vya dini husika
 
Kama nafsi imekataa usilazimishe kuishi nae maijepata matatizo bure!
Mungu aliweka mapenzi ya ndoa kiwe kitu cha kudumu sio cha kugeugeuka kama kichwa chako kugeuka geuka ukiwa unanyolewa na kinyozi saluni
 
Hujui lolote kuhusu sheria ya ndoa na nyamaza.

Wafungishaji ndoa wote ni ma agent wa serikali na wamesaljiliwa na Wana vibali . Wapo baadhi ya mashehe na wachungaji hawana vibali vya kufungisha ndoa , na undoa ya namna hiyo ikileta sintofahamu ,mahakama itaiita ndoa batili ( void arbinitual)

Usipotoke kwa maandishi yaliyopo kwenye vyeti hivyo mara maandishi ya kiarabu lakini vyote vipo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Nenda kwenye ofisi za bakwata kutana na wataalamu watakufafanulia hilo
 
Si kila mtu anafunga ndoa akiotea kuwa siku likitokea la kutokea aende mahakamani wacha Mungu na wanaomulingania Allah kwa nafsi zao na mioyo yao hawahitaji mahakama isiyo na dini kuamua kesi zao

Kesi zao huzipeleka misikitini au makanisani nk vyombo vya kidini

Maruhuni pekee ndie hutegemea huo utaratibu wako unasema sio walingania mola wao na waaminifu kwa dini zao

Wewe unaongelea maruhuni waliokatakataliwa kwenye dini na ahera wategemea hizo mahakama kwenye maswala ya ndoa ambazo hata huyo hakimu au jaji mwamua kesi ya ndoa aweza kuwa hata dini hana ni kafiri wa kutupwa asiyejua Mola ni nani au shetani ni nani
 
VIP akienda mahakamani unadhani mahakama itapokea icho kikaratasi Chako unachoita talaka.jamani mue na uwelewa ndoa Ni Mali ya serikali mahakama peke yake ndio imepewa mamlaka ya kuvunja ndoa
Ila tambua mahakama ina tambua dini na inaheshimu pia .
kwa mujibu wa dini ya kiislamu mwanamke akikaa eda akaimaliza yupo huru kuolewa na mwanaume mwingne . Nina rafiki yangu waliachana na mumewe wakapeana talaka rafiki yangu baada ya kumaliza eda akachumbiwa na mwanaume mwingne na akaolewa tena kisheria. Na akafungua kesi mahakamaniya mgawanyo wa mali kati yake na mumewe wa zamani ikiwa tayari ana ndoa nyingine kisheria.

Na hakusumbuliwa wala nini kuonekana wamevunja ndoa kienyeji.
 
Mgeni wa Jiji naweza kupata abc kuhusu jambo kwa leo hii
 
Mkuu kuna snerio zingine unasema ukweli ila kuna vitu hapa haviko sawa kwa baadhi ya kaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…