YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uongo viongozi wengine wa diini hufungisha ndoa tu za dini na kuwapa vyeti vya ndoa vya dini tu husika kama watoavyo vyeti vya ubatizo,kipaimara nkKwa Taarifa yako, ndoa zote zinazofungwa ziwe za kiserikali, za dini zote nk ni ndoa za kiserikali na sio Kila kiongozi wa dini anaruhusiwa kufungisha ndoa nazima wawe na kibali na kusajiliwa serikalini. Hivyo Kuna watu wanafungishwa ndoa na watu wasio na kibali, zinakuwa batili mwanzo mwisho.
Sababu hawataki migongano na vitabu vyao vya dini ns serikali Wenginre hufungisha kuwa serikali haina dini kwa hiyo haiwezi toa vyeti vya ndoa ya kidini.
unaongea usichokijua.Kuna watu wana vyeti vya ndoa vya dini tu na hawajassjiliwa ns serikali na hawana huo mpango kabisa wa kusajiluwa serikalini zaidi ya wao kutambuliwa na dini zao tu wamo mashehe,wachungaji mapadri nk kibao hufungisha ndoa za dini husika bila usajili wa serikali na vyeti watoavyo ni vya dini tu.Lengo likiwa kukitokea cha kutoa jambo limalizwe kidini kama ambavyo ndoa ilifungwa kidini
Unaota usidhani kila ndoa ina cheti cha ndoa cha serikali na ina mpango wa kuwa nacho
Hata wewe ukitaka kamuombe kiongozi wako wa dini kuwa unataka ndoa ya kidini tu ns akupe cheti cha ndoa cha dini yako tu atakufungisha na kukupa ukikidhi vigezo vya dini husika