Hahahaaa...Man down I repeat man down
Mkuu wakikuambia nitag
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Unaoa kiserikali?lzm atakua mke wa 2Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa?
Pia nauliza njia mbadala ya kutengua ndoa bila kupitia ustawi. Ndoa ilifungwa ya kiserikali
Ndoa ina mtoto mmoja na haina mali zilizochumwa kwa pamoja
Man down I repeat man down
Mkuu wakikuambia nitag
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Chombo chenye mamlaka ya kuvunja ndoa au kutoa talaka ni mahakama tu na si vinginevyo.ustawi wa jamii hawana hiyo mamlaka.Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa?
Pia nauliza njia mbadala ya kutengua ndoa bila kupitia ustawi. Ndoa ilifungwa ya kiserikali
Ndoa ina mtoto mmoja na haina mali zilizochumwa kwa pamoja
Ustawi sio kama wana hayo mamlaka. Wao kwanza wako against sana na talaka. Ila panaposhindikana, wao ndio hupeleka shauri mahakamani. Sasa wamesema kwa kipindi hiki wamefunga ukurasa wa kupeleka mashauri mbele, yaani mahakamaniChombo chenye mamlaka ya kuvunja ndoa au kutoa talaka ni mahakama tu na si vinginevyo.ustawi wa jamii hawana hiyo mamlaka.