Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
Michael mbano unachofanya ni kama swala kwenda kando ya mto na kuwaambia mamba ''jamani tunaomba mliangalia hili suala la kutufanya kitoeo wakati tunapokuja kunywa maji''. Unadhani mamba watajibuje? Ukweli mchungu: bila wananchi kujitambua na kuanza kuiadabisha serikali na viongozi wake bila woga, ikiwezekana kukinukisha wakinukishe, hakutakuwa na mabadiliko!Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunuwa umeme unawatesa wapangaji,kwakuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?Juzi nilikuwa wananunuwa umeme wa5000ukagoma,nikaongeza wa 1000 ukagoma.Nikaweka 12000ndipo wakakubali tena umeme wa2000tu ile 10000 wakalamba inaniuma.Wahusika mliangaliye hili.
Kweli usemalo.Inauma sana waTZ tufike mahala tuungane tuseme tosha bidhaa nyingi tununuazo zimeunganishwa na kodi lakini bado tu jaman .Huku tozo za miamala,huku luku mweeMichael mbano unachofanya ni kama swala kwenda kando ya mto na kuwaambia mamba ''jamani tunaomba mliangalia hili suala la kutufanya kitoeo wakati tunapokuja kunywa maji''. Unadhani mamba watajibuje? Ukweli mchungu: bila wananchi kujitambua na kuanza kuiadabisha serikali na viongozi wake bila woga, ikiwezekana kukinukisha wakinukishe, hakutakuwa na mabadiliko!
Hiyo mita itakuwa ina deni,mnakaa chini na mwenye nyumba kuangalia namna ya kufidia hizo pesa.Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunua umeme unawatesa wapangaji, kwa kuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?
Juzi nilikuwa nanunua umeme wa Tsh. 5,000 ukagoma, nikaongeza wa 1,000 ukagoma. Nikaweka 12,000 ndipo wakakubali tena umeme wa 2,000 tu ile 10,000 wakalamba inaniuma.
Wahusika mliangaliye hili.
INAUMIZA SANA MWENYE NYUMBA ANACHUKUWA PANGO KWA MPANGAJI YE NDIYO AKALIPE KODI YA JENGO SIYO WAPANGAJI.MAMBO HAYA NDIYO HUCHOCHEA HASIRA DHIDI YA SERIKALI.Watanzania tunaongea sana bila vitendo,na hilo viongozi wa serikali wanalijua hivyo wanaamua tu wanavyotaka,
Na maamuzi mengine wamekuwa wakiyatoa wakiwa mahotelini na wapenzi wao,haiwezekani mtu kapanga alafu unamkata kodi ya majengo kupitia umeme anaonunua