Utaratibu wa kuwaunganisha Watanzania na ajira nje ya nchi warejeshwa

Utaratibu wa kuwaunganisha Watanzania na ajira nje ya nchi warejeshwa

Ngoja mkan'golewe figo bila kujijua!
Ndipo mtakapotambua kwamba "kumbe kachumbari si mboga"
 
Serikali iweke tu utaratibu mzuri mfano wakala inatakiwa aweke Dhamana bank au ubalozini Ili mkataba ukikiukwa Dhamana yake ndo itumike kumrejesha kijana nyumbani. Ipo haja ya kwenda kujifunza nchi ya ufilipino Wana system nzuri raia wake awachezewi na waarabu.
Kuna yule mama balozi aliyewageuza wadada wa kitz waliokwama uarabuni baada ya taratibu kukiukwa akawageuza fursa kwa kufungua dangulo la kuwauza watz wenzake sijui serikali ilichukua hatua gani kwa afisa wake huyu.
 
C

Chezea Mwarabu! Ulizeni Kenya!
Kila siku wanapokea majeneza. Na, I assure you, hutakuja kusikia eti kesi iko mahakamani kwa sababu mtu mweusi kakatwa makofi na Mwarabu!

Msafara wa mamba.Watu wema na waovu wapo race zote duniani.Wapo mabinti ni mwaka wa kumi wapo kule wanafanya Kazi na wameyabadili maisha ya wazazi wao kuwajengea nyumba bora kusomesha ndugu zao,plus wengine hadi wameolewa huko.Ndio uwekwe utaratibu mzuri wa kulinda watu wake.
Kuwanyima fursa ya ajira nje huku ndani unawabomolewa vibanda vyao na kuwafukuza wasifanye biashara eti wanachafua mazingira kwa sababu tu upo kwenye kiyoyozi sio tija.
 
Hoja ya wanateseka haina mashiko, mbona hapa nchini wanawake wanawatesa Sana mabinti kwa kuwatenda unyama, ikiwemo manyanyaso, nk na serikali haichukui hatua inayaangali ya waarabu tu.
Wenzetu wameanza kusaka maisha duniani hata kabla ya UHURU, mkenya unamkuta hata nchi usiyotegemea anachuma kuleta home
 
Huko Uarabuni ni hatari sana hasa kwa mabinti..

Utaambiwa kuna ajira za ukarani, au usaidizi ofisini kwny makampuni ya maana, ukifika huko wanachukua documents zako zote pamoja na passport ili usitoroke maji yakizidi unga.

Unawekwa utumwani ndani ya danguro, au kazi za ndani, unahenyeka masaa mengi bila muda wa kupumzika na bila ujira!

Kuna wakati hata viungo vya mwili vinaibwa kinyemela🙄

Huko Uarabuni ni hatari sana hasa kwa mabinti..

Utaambiwa kuna ajira za ukarani, au usaidizi ofisini kwny makampuni ya maana, ukifika huko wanachukua documents zako zote pamoja na passport ili usitoroke maji yakizidi unga.

Unawekwa utumwani ndani ya danguro, au kazi za ndani, unahenyeka masaa mengi bila muda wa kupumzika na bila ujira!

Kuna wakati hata viungo vya mwili vinaibwa kinyemela🙄

C

Chezea Mwarabu! Ulizeni Kenya!
Kila siku wanapokea majeneza. Na, I assure you, hutakuja kusikia eti kesi iko mahakamani kwa sababu mtu mweusi kakatwa makofi na Mwarabu!

Woga wenu ndio umaskini wemu, Nyie endeleeni jubeba vipropaganda uchwara wenzenu wanaendelea kutengeneza maisha
 
Sijakariri kitu mzee hiyo Habari ipo bbc Swahili labda kama wao walizusha!

Mkuu waafrica tuna matatizo ya akili kabisa, ukisikia hizo story ni tafauti na uhalisia, Jaribu kufika kwenye hizo nchi na uone uhalisia wa mazingira, Nchi za kiarabu kuna waafrica mamilioni wanaoishi. Kama hayo munayoyazungumza ingelikua ni mambo ya kawaida huko kwanini waafrica waendelee kukimbilia kila kukicha?

Tuache kuchukua matukio mawili matatu tukayakuza kama ndio mazingira ya kimaisha huko yalivo. Mana tukiamua kukuza matukio Bongo kuna matukio kibao ya kinyama sana huko uarabuni hata robo hawanusi
 
Yeah kweli ila kwa nchi za Arabuni at least Dubai na Qatar hizo nchi nyingine nishida kwa watu weusi!
 
Yeah kweli ila kwa nchi za Arabuni at least Dubai na Qatar hizo nchi nyingine nishida kwa watu weusi!

Kuna ma docta wakenya na wabongo saudia but ubaguz had makazin unaambiwa afu wahindi ndio wanaowabagua utasema nchi yao vile.Watu wanakomaa coz mshahara mzuri!
 
Back
Top Bottom