TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Aksante mkuu kwa ushauri wako, hakika hii ndio Jamii Forum.fanya kwenda ubalozini pale chief utapata details za kutosha,
Norway niliwaisikia visa free kwa wanafunzi tu.
Ngoja niwasubiriiWatakuja wazee wa kujilipua wenzio
Aksante kakaKama upo Dar ingekua vizuri kama ungepita kwenye balozi zao, otherwise check hii link
Norway in Tanzania