TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Wakuu za asubuhi..
Ningependa jua utaratibu uliopo kwenda nchi za Norway au Sweden.... Je visa yake ni bei gani au ni free of visa?? Na kingine kama kuna mtu anaweza Fanya connection anijulishe nataka jilipua kwa miaka 6 ivi...
Msaada.