Mimi nimepigwa rungu japo nilisimama mstarini. Maaskari walianza kurusha rungu hovyo kuna watu walitusukuma tokea nyuma. Nimeumia.mkono, japo maaskari waliniomba radhi na kunituhusu kuingia. Nimechukua namba ya askari aliyenipiga nataka nikamashitaki kwa boss wake anieleze kama kazi ya askari ni kupiga watu hovyo hata kama hawafanyi fujo.Leo nimeona vitu vya aibu sana uwanja wa Taiga wakati wa kuingia aibu tupu.
Askari Polisi ni kupiga watu,mistari mirefu ya kuingia na watu wanaingia kama vile wanaaga Maiti.
Mageti ya kuingia ni mawili ya majukwaa ya watu wengi na moja la VIP
Mpira umeanza almost nusu ya washabiki iko nje.
Askari wa geti la VIP walitumia wakili ya Ziada kuwaingiza washibiki wa majukwaa mengine ndiyo ikasaidia sana.
Changamoto kwa uongozi mpya.Kuboresha namna ya kuingia uwanjani vizuri.
Na huyo askari aliyekupiga rungu bila shaka ana cheti feki. Wengi wa hawa jamaa hayakusoma kabisaMimi nimepigwa rungu japo nilisimama mstarini. Maaskari walianza kurusha rungu hovyo kuna watu walitusukuma tokea nyuma. Nimeumia.mkono, japo maaskari waliniomba radhi na kunituhusu kuingia. Nimechukua namba ya askari aliyenipiga nataka nikamashitaki kwa boss wake anieleze kama kazi ya askari ni kupiga watu hovyo hata kama hawafanyi fujo.
Uwe na tiketi ya VIP uwe na buku tatu ilikuwa shida tupu ni virungu tuNimekata tiketi ya VIP, nilipoona watu wanakula virungu kwenye lile geti nikasema isiwe taabu; Nikaenda zangu kule kwa buku 3. Pia, watanzania bado sana kustaarabika.
Hovyo sana ..! Siendi tena hapo Taifa kwa sasa.
Mshamba huyo acha aendelee kujichimbia huko poriniWakati jamaa kajichimbia Chattle, Mtoto wa Mjini alikuwepo Taifa!!
View attachment 541529
Yaani inawezekana kabisa hili ni bashite lingine.Muda mrefu tumesimama naye anatuona tuko kwwnye foleni. Bila kutumia akili linaamua kurusha rungu hovyo bila kuangalia vurugu imetokea wapi. Maaskari wa bongo ni shida kubwa sana.Na huyo askari aliyekupiga rungu bila shaka ana cheti feki. Wengi wa hawa jamaa hayakusoma kabisa
Wakati jamaa kajichimbia Chattle, Mtoto wa Mjini alikuwepo Taifa!!
View attachment 541529
Yaani inawezekana kabisa hili ni bashite lingine.Muda mrefu tumesimama naye anatuona tuko kwwnye foleni. Bila kutumia akili linaamua kurusha rungu hovyo bila kuangalia vurugu imetokea wapi. Maaskari wa bongo ni shida kubwa sana.
Unaonekana sio muendaji wa mechi kubwa.Leo nimeona vitu vya aibu sana uwanja wa Taiga wakati wa kuingia aibu tupu.
Askari Polisi ni kupiga watu,mistari mirefu ya kuingia na watu wanaingia kama vile wanaaga Maiti.
Mageti ya kuingia ni mawili ya majukwaa ya watu wengi na moja la VIP
Mpira umeanza almost nusu ya washabiki iko nje.
Askari wa geti la VIP walitumia wakili ya Ziada kuwaingiza washibiki wa majukwaa mengine ndiyo ikasaidia sana.
Changamoto kwa uongozi mpya.Kuboresha namna ya kuingia uwanjani vizuri.
Nimekata tiketi ya VIP, nilipoona watu wanakula virungu kwenye lile geti nikasema isiwe taabu; Nikaenda zangu kule kwa buku 3. Pia, watanzania bado sana kustaarabika.
Hovyo sana ..! Siendi tena hapo Taifa kwa sasa.