tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Leo nimeona vitu vya aibu sana uwanja wa Taiga wakati wa kuingia aibu tupu.
Askari Polisi ni kupiga watu,mistari mirefu ya kuingia na watu wanaingia kama vile wanaaga Maiti.
Mageti ya kuingia ni mawili ya majukwaa ya watu wengi na moja la VIP
Mpira umeanza almost nusu ya washabiki iko nje.
Askari wa geti la VIP walitumia wakili ya Ziada kuwaingiza washibiki wa majukwaa mengine ndiyo ikasaidia sana.
Changamoto kwa uongozi mpya.Kuboresha namna ya kuingia uwanjani vizuri.