Utaratibu wa Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa kwa mujibu wa Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa ya 2006

Utaratibu wa Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa kwa mujibu wa Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa ya 2006

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Kifungu namba 7 (a): Baada ya kupata taarifa rasmi na uthibitisho wa Daktari kuhusu kifo cha kiongozi huyo

Rais atatangaza kifo cha kiongozi huyo kwa kutaja tarehe, muda na sababu ya kifo chake

Rais atatangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa na bendera kupepea nusu mlingoti

Rais ataitisha Kikao cha Baraza la Mawaziri

1595588104706.png
 
Attachments

Upvote 5
Viongozi watazikwa kwenye makaburi ya kitaifa jijini Dodoma. Hii imekaaje?
 
Viongozi watazikwa kwenye makaburi ya kitaifa jijini Dodoma. Hii imekaaje?
Mkuu uko sahihi kwamba bunge limivunjwa,lakini baraza la mawaziri halijavunjwa na bado wanaendelea na nyadhifa zao mpaka baada ya uchaguzi mkuu.Kumbuka serikali inafanya kazi wakati wote masaa 24.
 
Bunge limevunjwa na mawaziri wanatokana na ubunge, atatoa wapi mawaziri?
Kuvunjwa kwa bunge hakupelekei mawaziri wasiwe mawaziri, ni hivi ukomo wa uwaziri au uspika wa bunge utatokana na sababu nyingine ambazo zitapelekea mbunge yeyote akose sifa zakuwa mbunge usipokuwa tu kuvunjwa kwa bunge.
 
Katiba mbovu kabisa kuwahi kutokea
 
Kwanini kaburi la rais huchimbwa na usalama wa taifa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom