Mkuu uko sahihi kwamba bunge limivunjwa,lakini baraza la mawaziri halijavunjwa na bado wanaendelea na nyadhifa zao mpaka baada ya uchaguzi mkuu.Kumbuka serikali inafanya kazi wakati wote masaa 24.Viongozi watazikwa kwenye makaburi ya kitaifa jijini Dodoma. Hii imekaaje?
Kuvunjwa kwa bunge hakupelekei mawaziri wasiwe mawaziri, ni hivi ukomo wa uwaziri au uspika wa bunge utatokana na sababu nyingine ambazo zitapelekea mbunge yeyote akose sifa zakuwa mbunge usipokuwa tu kuvunjwa kwa bunge.Bunge limevunjwa na mawaziri wanatokana na ubunge, atatoa wapi mawaziri?
Katiba mbovu kabisa kuwahi kutokeaKuvunjwa kwa bunge hakupelekei mawaziri wasiwe mawaziri, ni hivi ukomo wa uwaziri au uspika wa bunge utatokana na sababu nyingine ambazo zitapelekea mbunge yeyote akose sifa zakuwa mbunge usipokuwa tu kuvunjwa kwa bunge.
Hiyo iliishia kwa baba MandelaMbona hatujaelezwa sababu ya kifo chake na hospitali aliyofia?
Ilishatenguliwaa hiiiViongozi watazikwa kwenye makaburi ya kitaifa jijini Dodoma. Hii imekaaje?
Mh Mkapa si mtu baki, ni Rais mstaafu hivyo kando ya familia kuna sheria za kufuatwaNafikiri familia ndiyo inamaamuzi sahihi kuliko mtu yoyote.
Yupo huyu aliepigwa chini huko Kyela atakuja mkuuBunge limevunjwa na mawaziri wanatokana na ubunge, atatoa wapi mawaziri?
Hujaelewa?Nafikiri familia ndiyo inamaamuzi sahihi kuliko mtu yoyote.
Uliza kwa nini ventilator ilikuwa kandoMbona hatujaelezwa sababu ya kifo chake na hospitali aliyofia?
Alikuwa mtumishi kama watu wengine, hivyo familia yake itaamua badala ya weweMh Mkapa si mtu baki, ni Rais mstaafu hivyo kando ya familia kuna sheria za kufuatwa
Anamalizia per diem za mwisho mwishoYupo huyu aliepigwa chini huko kyela atakuja mkuu
We naye tafuta mtu akuoe umri unakimbiaHujaelewa?