Viongozi watazikwa kwenye makaburi ya kitaifa jijini Dodoma. Hii imekaaje?
Bunge limevunjwa na mawaziri wanatokana na ubunge, atatoa wapi mawaziri?
We naye tafuta mtu akuowe umri unakimbia
Angekuwa na mtoto tusingeshinda naye huku jukwaaniBwahaaa bwahaaa, ngozi imembana vibaya sana, huku analazimisha kuolewa na kijana. Na vijana nao siku hizi hawataki mijizee.
Mi wala sihusikiAlikuwa mtumishi kama watu wengine, hivyo familia yake itaamua badala ya wewe
Umemmaliza mkuu huyu sisieme kindakindakiWe naye tafuta mtu akuowe umri unakimbia
NotedKabisa mkuu anaboa
Mbona lile kaburi la Rais Mkapa vijana wa Jkt waliopo mafunzoni ndio waliochimba kaburi,tena mpaka kufukia kwa zege vijana wa Jkt ndio waliohusikaKwann kaburi la rais huchimbwa na usalama wa taifa?
Nafikiri trend ya uongozi inajulikanaMbona lile kaburi la Rais Mkapa vijana wa Jkt waliopo mafunzoni ndio waliochimba kaburi,tena mpaka kufukia kwa zege vijana wa Jkt ndio waliohusika