Biashara hizo ni wizi wa kimachomacho wa fedha, wameambiwa waombe leseni, unakuta riba ni 40% kwa mwezi mmoja, kibaya wanahusisha vyombo vya serikali kama polisi na mahakama. Mnaenda kuandikishiana mahakamani, hakimu anapata chake, ole wako msielewane halafu upelekwe polisi, utapigwa msukosuko balaa, akikupeleka mahakamani unamkuta hakimu au rafiki yake yule aliyekusainisha mkataba.
Chanzo: mimi mwenyewe yalinitokea