Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Rudisha rangi ya Picha yakoKanisa katoliki sidhani kama kuna maswala ya talaka??
Hii nimeweka kwa sababu ile wameidukua mkuuRudisha rangi ya Picha yako
Aende kwenyr baraza la kata la usuluhishi hapo ndipo watamuelekeza hatua gani za kufuatwa...ndoa yoyote ile mahakamani talaka inatolewa tuu hata asiwazeUmuofia kwenu wana jamvi,
Nina ndugu yangu wa kike aliolewa ndoa ya kanisani-katoliki na alibahatika kupata watoto watu na huyo bwana.
Lakini kuna mambo ya kutokuelewana kati ya huyo dada na mumewe kwa muda mrefu sasa na yeye anasema amechoka kuvumilia! Dada anataka talaka.
Je, utaratibu gani afuate wadau ili aanze mchakato wa talaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo kirahisi hivyoBy the way huyo mleta Maada maswala ya kupelekana Mahakamani yanajenga uhasama usio wa lazima kitugani kinachomzuia asichukuwe hamsini zake bile kupelekena huko kushitakiana? Nini Kimeshindikana huyo Mdada kuondoka na kwenda huko anakoona kuna amani kuliko kupelekkana Mahakamani?
Nilichojifunza wanaopelekena mahakamani ni wale ambao nia yao siyo Kuachana bali kukomoana yaani kugawana mali walizochuma au kusumbuana kwenye kuwahudumia watoto...Kama Mwanamke ndiye anayeona hawezi kuvumilia changamoto za Ndani ya Nyuma na amefika kipindi cha kusema hawezi kabisa ni busara akaondoka bila kuleta remedies nyingine.
Hivyo Mshauri huyo Mke wako kuwa as long as ameamua kwa ridhaa yake bila kushinikizwa na kichocheo chocote kuwa hawezi kuendelea na mahusiano ya Kindoa na Kifamilia yeye aondoke tu bila hata kuandikishana kwa kuwa walio wengi tunaamini Ndoa ipo Moyoni au Rohoni kama haipo hata kuwe na agizo la Vikao vya Kimila au vya Kimahakama haviwezi unganisha tena.
Mkuu hata mimi nilimshauri kwa nini asishike hamsini zake tu?!lakini inavyoonekana huyu bi shosti anashinikizwa na wazazi wake hasa mama'ke!maana mama'ke hana mahusiano mazuri na huyo kijana,hivyo mama anatoa shinikizo kwa binti ili adai talaka ili wamkomoe kijana na kijana hana tatizo kwny kuhudumia watoto!!By the way huyo mleta Maada maswala ya kupelekana Mahakamani yanajenga uhasama usio wa lazima kitugani kinachomzuia asichukuwe hamsini zake bile kupelekena huko kushitakiana? Nini Kimeshindikana huyo Mdada kuondoka na kwenda huko anakoona kuna amani kuliko kupelekkana Mahakamani?
Nilichojifunza wanaopelekena mahakamani ni wale ambao nia yao siyo Kuachana bali kukomoana yaani kugawana mali walizochuma au kusumbuana kwenye kuwahudumia watoto...Kama Mwanamke ndiye anayeona hawezi kuvumilia changamoto za Ndani ya Nyuma na amefika kipindi cha kusema hawezi kabisa ni busara akaondoka bila kuleta remedies nyingine.
Hivyo Mshauri huyo Mke wako kuwa as long as ameamua kwa ridhaa yake bila kushinikizwa na kichocheo chocote kuwa hawezi kuendelea na mahusiano ya Kindoa na Kifamilia yeye aondoke tu bila hata kuandikishana kwa kuwa walio wengi tunaamini Ndoa ipo Moyoni au Rohoni kama haipo hata kuwe na agizo la Vikao vya Kimila au vya Kimahakama haviwezi unganisha tena.
Na uhasama tayari upo kati ya familia hizi mbili,na ninachokiona familia ya binti ndo imeingilia kwa kiasi kikubwa ndoa ya binti yao!By the way huyo mleta Maada maswala ya kupelekana Mahakamani yanajenga uhasama usio wa lazima kitugani kinachomzuia asichukuwe hamsini zake bile kupelekena huko kushitakiana? Nini Kimeshindikana huyo Mdada kuondoka na kwenda huko anakoona kuna amani kuliko kupelekkana Mahakamani?
Nilichojifunza wanaopelekena mahakamani ni wale ambao nia yao siyo Kuachana bali kukomoana yaani kugawana mali walizochuma au kusumbuana kwenye kuwahudumia watoto...Kama Mwanamke ndiye anayeona hawezi kuvumilia changamoto za Ndani ya Nyuma na amefika kipindi cha kusema hawezi kabisa ni busara akaondoka bila kuleta remedies nyingine.
Hivyo Mshauri huyo Mke wako kuwa as long as ameamua kwa ridhaa yake bila kushinikizwa na kichocheo chocote kuwa hawezi kuendelea na mahusiano ya Kindoa na Kifamilia yeye aondoke tu bila hata kuandikishana kwa kuwa walio wengi tunaamini Ndoa ipo Moyoni au Rohoni kama haipo hata kuwe na agizo la Vikao vya Kimila au vya Kimahakama haviwezi unganisha tena.
Watamrudisha kanisani usimdanganye mwezako mahakamani hawatampa talaka, aende parokiani kwake kama kuna sababu za msingi itatenguliwa ila awe mvumilivu inaweza kuchukua hata miaka 15 na kuendeleaAende kwenyr baraza la kata la usuluhishi hapo ndipo watamuelekeza hatua gani za kufuatwa...ndoa yoyote ile mahakamani talaka inatolewa tuu hata asiwaze
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mimi nilimshauri kwa nini asishike hamsini zake tu?!lakini inavyoonekana huyu bi shosti anashinikizwa na wazazi wake hasa mama'ke!maana mama'ke hana mahusiano mazuri na huyo kijana,hivyo mama anatoa shinikizo kwa binti ili adai talaka ili wamkomoe kijana na kijana hana tatizo kwny kuhudumia watoto!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wa binti ndo wanataka kuanzisha huo mchakato wa talaka!!Mkuu kwa ninavyoelewa Talaka inaweza tolewa au kudaiwa na pande Yoyote. Kwa mazoea Mwanaume ndiyo imezoeleweka ndiye mtoa talaka the reason behind ni kwamba mtoa talaka ndiyo mwenye asilimia kubwa ya kupoteza kuliko mpewa talaka . Hivyo na Mara ninyi ipo kwenye kugawana Mali. na Siku Hizi Wanaume waamekuwa wajanja Mno kwenye hatua hii ya Talaaka kwa kuwa linakuwa ni Jambo la Mwisho na linafanyika Pale ambapo kumekuwa na usumbufu wa hali ya Juu...
Kama Mama wa huyo Binti ndiye anayeshinikiza Mwanae apewe Talaka basi , Huyo Mshikaji asiinitiate chochote, ampe ruhusa huyu Mwanamke akaprocess devorce yeye Mwenyewe aletewe which means atakayedetermine sababu za kudevorce na Mwanamke na siyo Mwanaume hivyo Mwanaume hatakuwa na laiability yoyote na Maamuzi ya Talaka hiyo kwa kuwa hajatia chochezi yoyote.
Kifupi Pande yoyote ya Ndoia ina haki ya kutoa au kuomba talaka. Hivyo Mwanamke ndiyo atoe talaka kwa Mume ..
Watalaamu mtanisahihisha , ila kwa kuwa umeshasema wanataka kumkomoa basi hapo kuna mali ambazo wanataka kumnyanganya huyo kijana kwa hiyo asiprocess yeye talaka anayepashwa kuprocess ni huyo Mwanamke na Familia yao..
Hiyo ilikua zamani na isitoshe kanisa katoliki hua kamwe halitoi talaka!lakini mbona ndoa za kikatoliki nyingi tuu zinavunjwa mahakamani?usishauri kwa mazoea mambo yamebadilika sana siku hizi,na hawezi anzia mahakamani ndio maana nimemwambia aanzie baraza la usuluhishi ndio watampa barua ya kupeleka mahakamani.Watamrudisha kanisani usimdanganye mwezako mahakamani hawatampa talaka, aende parokiani kwake kama kuna sababu za msingi itatenguliwa ila awe mvumilivu inaweza kuchukua hata miaka 15 na kuendelea
Kwa hisani ya watu wasiojulikana