Utaratibu wa talaka mahakamani

Utaratibu wa talaka mahakamani

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Umuofia kwenu wana jamvi,

Nina ndugu yangu wa kike aliolewa ndoa ya kanisani-katoliki na alibahatika kupata watoto watu na huyo bwana.

Lakini kuna mambo ya kutokuelewana kati ya huyo dada na mumewe kwa muda mrefu sasa na yeye anasema amechoka kuvumilia! Dada anataka talaka.

Je, utaratibu gani afuate wadau ili aanze mchakato wa talaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa katoliki sidhani kama kuna maswala ya talaka??
 
By the way huyo mleta Maada maswala ya kupelekana Mahakamani yanajenga uhasama usio wa lazima kitugani kinachomzuia asichukuwe hamsini zake bile kupelekena huko kushitakiana? Nini Kimeshindikana huyo Mdada kuondoka na kwenda huko anakoona kuna amani kuliko kupelekkana Mahakamani?

Nilichojifunza wanaopelekena mahakamani ni wale ambao nia yao siyo Kuachana bali kukomoana yaani kugawana mali walizochuma au kusumbuana kwenye kuwahudumia watoto...Kama Mwanamke ndiye anayeona hawezi kuvumilia changamoto za Ndani ya Nyuma na amefika kipindi cha kusema hawezi kabisa ni busara akaondoka bila kuleta remedies nyingine.

Hivyo Mshauri huyo Mke wako kuwa as long as ameamua kwa ridhaa yake bila kushinikizwa na kichocheo chocote kuwa hawezi kuendelea na mahusiano ya Kindoa na Kifamilia yeye aondoke tu bila hata kuandikishana kwa kuwa walio wengi tunaamini Ndoa ipo Moyoni au Rohoni kama haipo hata kuwe na agizo la Vikao vya Kimila au vya Kimahakama haviwezi unganisha tena.
 
Umuofia kwenu wana jamvi,

Nina ndugu yangu wa kike aliolewa ndoa ya kanisani-katoliki na alibahatika kupata watoto watu na huyo bwana.

Lakini kuna mambo ya kutokuelewana kati ya huyo dada na mumewe kwa muda mrefu sasa na yeye anasema amechoka kuvumilia! Dada anataka talaka.

Je, utaratibu gani afuate wadau ili aanze mchakato wa talaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aende kwenyr baraza la kata la usuluhishi hapo ndipo watamuelekeza hatua gani za kufuatwa...ndoa yoyote ile mahakamani talaka inatolewa tuu hata asiwaze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By the way huyo mleta Maada maswala ya kupelekana Mahakamani yanajenga uhasama usio wa lazima kitugani kinachomzuia asichukuwe hamsini zake bile kupelekena huko kushitakiana? Nini Kimeshindikana huyo Mdada kuondoka na kwenda huko anakoona kuna amani kuliko kupelekkana Mahakamani?

Nilichojifunza wanaopelekena mahakamani ni wale ambao nia yao siyo Kuachana bali kukomoana yaani kugawana mali walizochuma au kusumbuana kwenye kuwahudumia watoto...Kama Mwanamke ndiye anayeona hawezi kuvumilia changamoto za Ndani ya Nyuma na amefika kipindi cha kusema hawezi kabisa ni busara akaondoka bila kuleta remedies nyingine.

Hivyo Mshauri huyo Mke wako kuwa as long as ameamua kwa ridhaa yake bila kushinikizwa na kichocheo chocote kuwa hawezi kuendelea na mahusiano ya Kindoa na Kifamilia yeye aondoke tu bila hata kuandikishana kwa kuwa walio wengi tunaamini Ndoa ipo Moyoni au Rohoni kama haipo hata kuwe na agizo la Vikao vya Kimila au vya Kimahakama haviwezi unganisha tena.
siyo kirahisi hivyo

Mkuu hata mimi nilimshauri kwa nini asishike hamsini zake tu?!lakini inavyoonekana huyu bi shosti anashinikizwa na wazazi wake hasa mama'ke!maana mama'ke hana mahusiano mazuri na huyo kijana,hivyo mama anatoa shinikizo kwa binti ili adai talaka ili wamkomoe kijana na kijana hana tatizo kwny kuhudumia watoto!!

Na uhasama tayari upo kati ya familia hizi mbili,na ninachokiona familia ya binti ndo imeingilia kwa kiasi kikubwa ndoa ya binti yao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende kwenyr baraza la kata la usuluhishi hapo ndipo watamuelekeza hatua gani za kufuatwa...ndoa yoyote ile mahakamani talaka inatolewa tuu hata asiwaze

Sent using Jamii Forums mobile app
Watamrudisha kanisani usimdanganye mwezako mahakamani hawatampa talaka, aende parokiani kwake kama kuna sababu za msingi itatenguliwa ila awe mvumilivu inaweza kuchukua hata miaka 15 na kuendelea

Kwa hisani ya watu wasiojulikana
 
Mkuu hata mimi nilimshauri kwa nini asishike hamsini zake tu?!lakini inavyoonekana huyu bi shosti anashinikizwa na wazazi wake hasa mama'ke!maana mama'ke hana mahusiano mazuri na huyo kijana,hivyo mama anatoa shinikizo kwa binti ili adai talaka ili wamkomoe kijana na kijana hana tatizo kwny kuhudumia watoto!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwa ninavyoelewa Talaka inaweza tolewa au kudaiwa na pande Yoyote. Kwa mazoea Mwanaume ndiyo imezoeleweka ndiye mtoa talaka the reason behind ni kwamba mtoa talaka ndiyo mwenye asilimia kubwa ya kupoteza kuliko mpewa talaka . Hivyo na Mara ninyi ipo kwenye kugawana Mali. na Siku Hizi Wanaume waamekuwa wajanja Mno kwenye hatua hii ya Talaaka kwa kuwa linakuwa ni Jambo la Mwisho na linafanyika Pale ambapo kumekuwa na usumbufu wa hali ya Juu...

Kama Mama wa huyo Binti ndiye anayeshinikiza Mwanae apewe Talaka basi , Huyo Mshikaji asiinitiate chochote, ampe ruhusa huyu Mwanamke akaprocess devorce yeye Mwenyewe aletewe which means atakayedetermine sababu za kudevorce na Mwanamke na siyo Mwanaume hivyo Mwanaume hatakuwa na laiability yoyote na Maamuzi ya Talaka hiyo kwa kuwa hajatia chochezi yoyote.

Kifupi Pande yoyote ya Ndoia ina haki ya kutoa au kuomba talaka. Hivyo Mwanamke ndiyo atoe talaka kwa Mume ..

Watalaamu mtanisahihisha , ila kwa kuwa umeshasema wanataka kumkomoa basi hapo kuna mali ambazo wanataka kumnyanganya huyo kijana kwa hiyo asiprocess yeye talaka anayepashwa kuprocess ni huyo Mwanamke na Familia yao..
 
Upande wa binti ndo wanataka kuanzisha huo mchakato wa talaka!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watamrudisha kanisani usimdanganye mwezako mahakamani hawatampa talaka, aende parokiani kwake kama kuna sababu za msingi itatenguliwa ila awe mvumilivu inaweza kuchukua hata miaka 15 na kuendelea

Kwa hisani ya watu wasiojulikana
Hiyo ilikua zamani na isitoshe kanisa katoliki hua kamwe halitoi talaka!lakini mbona ndoa za kikatoliki nyingi tuu zinavunjwa mahakamani?usishauri kwa mazoea mambo yamebadilika sana siku hizi,na hawezi anzia mahakamani ndio maana nimemwambia aanzie baraza la usuluhishi ndio watampa barua ya kupeleka mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A DIVORCED SINGLE MOTHER WROTE;

I am writing to you in order to make someone understand that it's good to appreciate our partners despite their flaws.

I am 32 years of age.

My ex husband and I dated for 6 years.

We where best of friends.

I waited until he completed college and started work.

My family and his family then met.

We got married and had a son. (7 years old now).

My husband was short tempered at times but our problems started when I wanted to make him feel he couldn't control me.

Every time we argued, I would pack my bags, go to my family and explain.

My sisters would phone my husband and shout at him.

If he was controlling me I would always dare him that if he wished, he could divorce me.

I never wanted divorce.

I just had pride and I never wanted to look like a loose woman in his eyes.

One day I pushed him so hard that for the first time he beat me and locked me outside.

I went to my family, my family took him to the police, every time I looked like I was being abused!

But to be honest, I used to abuse my husband emotionally.

He was arrested and detained.

I was asked by his family to withdraw the case.

I felt that what I was doing was wrong.

My husband was never a violent man, he did what he did because I pushed him to the wall of which he openly knelt down and apologized.

I withdrew the charge, and we reconciled.

After three months, I packed my bags after a small issue and he remained alone.

After two days, I
received a call that he was in the hospital.

My family told me that I shouldn't go there because it would look like I was begging him and my sisters believed he was feigning the illness.

All this time, people felt sorry for me like I was the one being abused.

He spent a week in the hospital, after he came out, I just received a divorce summon.

I wanted to say no to divorce, but because I felt this pride, I wanted him to change his mind and beg me.

I called him and said he would get the divorce because I lived like I was in hell.

When we went to court, I wanted to make him pay, so I told the court that I needed his properties to be shared.

To my surprise he openly told the court that whatever he and I acquired together should be given to me, all he wanted was divorce.

We were divorced in 2009 July.

Now, my husband is married, whilst l am here wasted!

My family members are gossiping about me.

I depend on what my ex husband gives to my son for survival.

I know I wasted my
marriage.

I am here telling all wives that they should be careful how they get advise.

Don't be cheated, don't entertain family interference in your marriage my dear reader.

Even my young sisters are much more respected than me.

Those who encouraged me to get divorced are always teasing and bad mouthing me.

Please ladies, be vigilant in your marriage.

Thought it wise to share my story to save your marriage.

There is no benefit in pride for nothing.

SOMETIMES IT'S NOT THE MAN'S FAULT AT ALL, IT'S YOUR PRIDE,AND THE PEOPLE YOU ALLOWED TO ADVISE YOU.
 
Back
Top Bottom