Utaratibu wa tozo za maegesho ya gari

Tatizo la kuwa na waziri wa fedha mwenye Phd ya dukani
 
Mkuu leo amescan dada wa parking kanipa risiti nikajisahau car wash wametoa takataka sasa sjui deni linakuwa na nalilipajee ...ni usumbufu kiukweli
 
Mbaya zaid kwenye hii tozo hawajaconsider mkaazi yaani mtu unaish pale kila baada ya lisaa limoja ulipe sh 500, kwa siku 6000, na huk umelala tu ndani this is insane. Wanahis mwenye gari anaingiza pesa tu ata kam hii mentality ya kipuuz sana.
 
Na shaka kuwa mhudumu anapo kukatia tiketi inapo pita lisaa anakata ingine hata kama haupo mm naona na pata bill pasipo kupaki gari popote kama Kuna mwingine ameona hivi naomba mchangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…