Bado hatujafikia maendeleo hayo, nani atachangia ujenzi wa barabara kama wengi watanyangwanywa leseni? Wahanga wakubwa ni wale wenye shughuli za moja kwa moja na vyombo vya usafiri, ambapo matajiri hawajali kuhusu ubora wa gari, muhimu hesabu ya siku. Si utakimbiza wote hao kwenye ajira zao!Utanyanganywa leseni ukiwa na makosa mengi nadhani!
Ndio hapo buku mbili huwa inahusika,sasa jifanye unaijua haki sana.kama hujakabidhi leseni na kwenda kulala na mkeo maskani.Bado hatujafikia maendeleo hayo, nani atachangia ujenzi wa barabara kama wengi watanyangwanywa leseni? Wahanga wakubwa ni wale wenye shughuli za moja kwa moja na vyombo vya usafiri, ambapo matajiri hawajali kuhusu ubora wa gari, muhimu hesabu ya siku. Si utakimbiza wote hao kwenye ajira zao!
yaani wanachofanya ukikamatwa anakupa ile risiti ya fain ukalipe then anakua na notebook anaandika jina lako, namba ya leseni, namba yako ya simu na kosa ulilofanya, ndio nauliza why wanakua wanafanya hivyo!?mkuu nadhani mkosaji ni dereva na taarifa za dereva ziko kwenye leseni.
Shida iko wapi maana akishachukua namba ya leseni anakuwa na kila kitu konachomuhusu mkosaji au kuna kitu sijaelewa mkuu.
Huu ni utaratibu ni wakimfumo ni kwaajili ya kuendelea kufwatilia mwenendo wa Dereva kwaajili ya kukukata point kwenye liseni yako waliutambulisha huu mwongozo kipindi kamanda Muslim anaaza kazi ya ukuu wa Trafiki, shida wanaufanya kienyeji vile vimashine vya kurekodia wanajua wenyewe waliko vitupa sasa wanarekodi kwenye vi note book, shida ni kwamba hii Elimu ya kukatwa point waliifanya kama yakuwa bania mno madereva wa mabasi ya mikoani.yaani wanachofanya ukikamatwa anakupa ile risiti ya fain ukalipe then anakua na notebook anaandika jina lako, namba ya leseni, namba yako ya simu na kosa ulilofanya, ndio nauliza why wanakua wanafanya hivyo!?
Kataa maana taarifa zote ziko kwenye lesseni.yaani wanachofanya ukikamatwa anakupa ile risiti ya fain ukalipe then anakua na notebook anaandika jina lako, namba ya leseni, namba yako ya simu na kosa ulilofanya, ndio nauliza why wanakua wanafanya hivyo!?
Kuna bonus wanapata kwenye kila kosa linalopita muda wa kulipaWakuu hbari,
Juzi kati nilikua na safari ya kwenda mikoa ya kusini sasa kila askari akinisimamisha kama nikiwa na kosa naandikiwa risiti na kuna huu utaratibu nimeuona mpya WA KUNAKIRI KOSA PEMBENI KWENYE NOTEBOOK PAMOJA NA TAARIFA ZA DEREVA.
Sijajua huu utaratibu mpya umewekwa kwa malengo gani ila nina wasiwasi askari wasio waadilifu akiona siku hajakamata mtu anaweza tumia hizo taarifa kubambikia mtu kosa.
Naomba kufanamishwa kwa anaejua ni nini lengo la huu utaratibu wa kurekodi kosa pamoja na taarifa za mkosaji pembeni.
Nawasilisha.
Wakitaka kuchukua points kwa leseni yako hawaihitaji kukuomba , system inayotumika kuandika fines ina records zote za kila leseni na kila gari .Utanyanganywa leseni ukiwa na makosa mengi nadhani!