Uchaguzi 2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

Uchaguzi 2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
_Leo Jumatatu Juni 29, 2020, @chadematzofficial itatangaza utaratibu na ratiba y ( 698 X 640 ).jpg
 
Mbona Makene ana ubaguzi kwa vyombo vingine vya habari?
 
Kama unataka kheri duniani, usithibutu kudhihaki miji ya watu hata kama hazijiwezi hata mlo mmoja, maadamu zipo na zinaishi, basi heshimu, Chadema kila la kheri hata kama hamjiwezi kabisa Kwa nafasi hiyo, lkni heshima iwepo
 
Zanzibar kishaeleweka maalim atagombea, Wazanzibari hawasikii hawaoni kwa maalim wao nadhan upande wa pili wameanza kuchuuka yale mavi madogo madogo
 
mimi nikajua hiyo kazi ilisha kamilika KUMBE HATA UTARATIBU ULIKUWA BADO? Iweje viongozi wa ngazi za juu wa Chama waanze kujitokeza kuonesha nia na wengine kujitangaza wakati hata utaratibu haujatolewa; sasa si wanaweza kuwa wamekwenda kinyume na utaratibu; najiuliza tu ?
Kule kutia nia ulikuwa ni mpango wa Chadema yenyewe , kwahiyo ulikuwa mpango halali wa chama ili kupembua pumba na mchele
 
Kule kutia nia ulikuwa ni mpango wa Chadema yenyewe , kwahiyo ulikuwa mpango halali wa chama ili kupembua pumba na mchele
Ungekuwa unajua Lugha ya sheria; Mpango maana yake ni UTARATIBU, sasa iweje wawe na mpango ila wasiwe na Utaratibu?
nafikiri uache kujikanyaga kwani unajibu hoja usiyoifahamu
 
Back
Top Bottom