Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Washachelewa
Polisi wanaweza kuja kuzui tukio hili kwa maagizo kutoka juu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi wanaweza kuja kuzui tukio hili kwa maagizo kutoka juu!!
Hahahaha hapo roho inakudundaaa
Hahaha Wakatimize matakwa tu
Ila ni ZERO
Ccm roho zinawauma
Naona wanapotezeana muda.
Kwa tume hii ya chato?
Labda wanafaidika na ruzuku kila hakuna tume itakayotangaza matokeo ya kweli.
MTU mwnye akili zake hawezi kupoteza muda kwend kupiga kura ambazo tume ya chato ina matokeo tayari. Ni kupotezean mud na kupigiana makelele
kinacholeta uhai kwa Taifa ni kwamba approx 80% ya watia nia kwenye nafasi za udiwani na ubunge ni vijana graduates...safi saaana.... Chama chochote hujengwa na vijana wenye critical thinking.
Safi sana nafasi zipo wazi sio kama chama "FURANI" kimechapisha form moja ya kugombea nafasi ya "VYOMBO VYA DOLA".
Kifupi chadema ni hopeless sababu kwa nini usumbue watu eti waandike barua ya Kuomba kigombea uraisi Halafu Hapo hapo uwaambie wachukue fomu ya kuomba kugombea.Si ungewambia direct kuwa wanaotaka kugombea wafuate fomu tu? Why kazi Mara mbiliKwa ufupi tu CHADEMA kuna utaratibu wa kutia nia kwa aina mbili;
a) Kuandika barua ya kutia nia na kuituma kwa Katibu Mkuu.
b) Kutangaza popote pale pasipo kuandika nyaraka yoyote.
Unapoambiwa na muandika Uzi huu kuwa huo ni utaratibu wa CHADEMA heshimu na pata ufahamu kupitia muongozo anaokupa.
u I hauna wachangiaji wengi umekosa mvuto ugombea uraisi wa chadema hauna wafuasi wengi humu naona chadema watatu tu ndio wanajitutumua kwenye Huu uzi wewe na wenzio wawiliWanaiogopa cdm utadhani cdm ndiyo chama tawala
u I hauna wachangiaji wengi umekosa mvuto ugombea uraisi wa chadema hauna wafuasi wengi humu naona chadema watatu to ndio wanajitutumua kwenye guy uzi wewe na wenzio wawili
Anayewaongezea posho mkipunjwa na Polepole anasema watapata wabunge 7, sijui tumwamini bosi au wewe kikaragosi chake?Hahaha Wakatimize matakwa tu
Ila ni ZERO
Unajiuliza kipumbavu, kwani kutangaza ni kuchukua fomu, au ni dhambi?mimi nikajua hiyo kazi ilisha kamilika KUMBE HATA UTARATIBU ULIKUWA BADO? Iweje viongozi wa ngazi za juu wa Chama waanze kujitokeza kuonesha nia na wengine kujitangaza wakati hata utaratibu haujatolewa; sasa si wanaweza kuwa wamekwenda kinyume na utaratibu; najiuliza tu ?
Anayewaongezea posho mkipunjwa na Polepole anasema watapata wabunge 7, sijui tumwamini bosi au wewe kikaragosi chake?
Kwa Ushauri wako,wafanye nini?Umekiri kuwa Tume siyo Huru, kwa nini haushauri tudai kupatiwa Tume Huru ya uchaguzi?Kwa nini tumekubali kuamini kuwa uchaguzi utakuwa Huru na wa haki ilhali tukifahamu kuwa Tume siyo Huru? Je,Tume ya uchaguzi ni Mali ya nani(CCM au waTanzania)? Tume inaendeshwa kwa fedha za nani hasa?Naona wanapotezeana muda.
Kwa tume hii ya chato?
Labda wanafaidika na ruzuku kila hakuna tume itakayotangaza matokeo ya kweli.
MTU mwnye akili zake hawezi kupoteza muda kwend kupiga kura ambazo tume ya chato ina matokeo tayari. Ni kupotezean mud na kupigiana makelele
Soma kitabu kiitwacho NYUMA YA PAZIA. Anyway, CCM nao wamempa mtu mmoja wa kuwagaragaza watu fulani; kwanini kwao iwe nongwa?Ukawa walikaa mezani na kumteua mtu mmoja mwenye nguvu ya kumgalagaza "MTU FURANI" na kwa kipindi kile ENL ndio alikuwa MTAJI na matokeo yake tumeyaona,hadi sasa Msajili hataki kusikia kitu kinachoitwa ukawa,wametunga hadi sheria kuzuia muungano wa vyama!
NYUMA YA PAZIA Cha Dr wa MIHOGO? Kama ndio hicho sina haja ya kupoteza muda wa kusoma TAKATAKA.Soma kitabu kiitwacho NYUMA YA PAZIA. Anyway, CCM nao wamempa mtu mmoja wa kuwagaragaza watu fulani; kwanini kwao iwe nongwa?
Utauguwa bure huwezi wala hamuwezi kuizuia CHADEMAChama chakavu kinajitutumua
KWELI kabisa.Kimejifunza kwa CHADEMA mwaka 2015.