Uchaguzi 2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

Mbona Makene ana ubaguzi kwa vyombo vingine vya habari?
 
Kama unataka kheri duniani, usithibutu kudhihaki miji ya watu hata kama hazijiwezi hata mlo mmoja, maadamu zipo na zinaishi, basi heshimu, Chadema kila la kheri hata kama hamjiwezi kabisa Kwa nafasi hiyo, lkni heshima iwepo
 
Zanzibar kishaeleweka maalim atagombea, Wazanzibari hawasikii hawaoni kwa maalim wao nadhan upande wa pili wameanza kuchuuka yale mavi madogo madogo
 
Kule kutia nia ulikuwa ni mpango wa Chadema yenyewe , kwahiyo ulikuwa mpango halali wa chama ili kupembua pumba na mchele
 
Kule kutia nia ulikuwa ni mpango wa Chadema yenyewe , kwahiyo ulikuwa mpango halali wa chama ili kupembua pumba na mchele
Ungekuwa unajua Lugha ya sheria; Mpango maana yake ni UTARATIBU, sasa iweje wawe na mpango ila wasiwe na Utaratibu?
nafikiri uache kujikanyaga kwani unajibu hoja usiyoifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…