Uchaguzi 2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

Wakibadili sheria ili Tanzania ibakie ya chama kimoja hautawaona watu wakijisumbua kutaka kugombea mavyeo
 
Upande ule bado kina Lubeleje wanapewa kipau mbele maana kwao kila kitu ni kuuunga mkono kwa 100%
kinacholeta uhai kwa Taifa ni kwamba approx 80% ya watia nia kwenye nafasi za udiwani na ubunge ni vijana graduates...safi saaana.... Chama chochote hujengwa na vijana wenye critical thinking.
 
ccm kila linalofanywa na chadema lazima washadadie...tulieni October kuna jambo kubwa na la kihistoria lina kwenda kutokea ktk nchi na mtashangaa....yaliyotokea malawi yanakuja na huku Tz...mtabeza sana lkn cku hiyo mtaona Kama vile ni ndoto kumbe ndo ukweli wa mambo...tunachukua nchi kiulaini kbsaaa bila kokolo na mkifurukuta imekula kwenu...
 
Kifupi chadema ni hopeless sababu kwa nini usumbue watu eti waandike barua ya Kuomba kigombea uraisi Halafu Hapo hapo uwaambie wachukue fomu ya kuomba kugombea.Si ungewambia direct kuwa wanaotaka kugombea wafuate fomu tu? Why kazi Mara mbili

La pili chadema ratiba inasema kuna tarehe ya kamati kuu kupendekeza jina la mgombea sio majina ya wagombea.Itapenfekeza jina moja Halafu Hilo jina litapelekwa mkutano mkuu ambao kwenye ratiba unaonyesha utateua jina la mgombea uraisi!!!!
Sasa kamati kuu imependekeza jina moja mkutano mkuu utateuaje jina moja toka kwenye jina moja lililoletwa na kamati kuu? Ilitakiwa paandikwe tu kuwa mkutano miuu kuidhinisha jina la mgombea aliyependekezwa na kamati kuu sababu Ni jina moja tu . Chadema hawako serious.
 
Nauliza maswali kwa niaba ya Tundu Lisu japo hajaniomba nimsaidie kumuulizia

Mosi kuchukua fomu ya uraisi mtu anabidi aende mwenyewe personally makao makuiu au aweza tuma mtu hata mjumbe wa nyumba kumi amchukulie?

Pili kurudisha fomu makao Makuu mgombea anatakiwa kurudisha yeye mwenyewe personally au aweza tuma mtu amrudishie hiyo fomu?
 
Wanaiogopa cdm utadhani cdm ndiyo chama tawala
u I hauna wachangiaji wengi umekosa mvuto ugombea uraisi wa chadema hauna wafuasi wengi humu naona chadema watatu tu ndio wanajitutumua kwenye Huu uzi wewe na wenzio wawili
 
Ushapiga kimpumu hata kuandika tu unatetemeka
u I hauna wachangiaji wengi umekosa mvuto ugombea uraisi wa chadema hauna wafuasi wengi humu naona chadema watatu to ndio wanajitutumua kwenye guy uzi wewe na wenzio wawili
 
Unajiuliza kipumbavu, kwani kutangaza ni kuchukua fomu, au ni dhambi?
 
Umemuuliza swali gumu sana kwani uwezo wake ni mdogo sana kuweza kulijibu
Anayewaongezea posho mkipunjwa na Polepole anasema watapata wabunge 7, sijui tumwamini bosi au wewe kikaragosi chake?
 
Kwa Ushauri wako,wafanye nini?Umekiri kuwa Tume siyo Huru, kwa nini haushauri tudai kupatiwa Tume Huru ya uchaguzi?Kwa nini tumekubali kuamini kuwa uchaguzi utakuwa Huru na wa haki ilhali tukifahamu kuwa Tume siyo Huru? Je,Tume ya uchaguzi ni Mali ya nani(CCM au waTanzania)? Tume inaendeshwa kwa fedha za nani hasa?
 
Soma kitabu kiitwacho NYUMA YA PAZIA. Anyway, CCM nao wamempa mtu mmoja wa kuwagaragaza watu fulani; kwanini kwao iwe nongwa?
 
Soma kitabu kiitwacho NYUMA YA PAZIA. Anyway, CCM nao wamempa mtu mmoja wa kuwagaragaza watu fulani; kwanini kwao iwe nongwa?
NYUMA YA PAZIA Cha Dr wa MIHOGO? Kama ndio hicho sina haja ya kupoteza muda wa kusoma TAKATAKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…