Najaribu kuvuta hisia yule mdada alimucha mumewe na watoto akaondoka kwa matambo hata mwaka hujaisha sidhani kama alipata green card.
Sijui atarudia wapi maana mumewe keshaoa mke mwingine.
Ila pamoja na yote huu uzi nimegundua umejaa udaku,wivu na ufukunyungu wa kijicho