Wadau,
Kuna mtu kapoteza cheti cha O-Level na A-Level (CSEE na ACSEE). Nimemwambia aripoti kwanza polisi awe na loss report ya polisi (sina hakika na taratibu) then aende nayo NECTA akadai vyeti vingine. Gharama/ada ya kupata hivyo vyeti ni shs ngapi pale NECTA? Kuna taratibu nyingine za kupitia? Msaada tafadhali.
PS: Website ya NECTA haina maelezo yeyote. Nadhani JF ndio sehemu muafaka ya kupata jibu kwa haraka zaidi.