Utaratibu wa vyeti NECTA

Utaratibu wa vyeti NECTA

whizkid

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
357
Reaction score
240
Wadau,

Kuna mtu kapoteza cheti cha O-Level na A-Level (CSEE na ACSEE). Nimemwambia aripoti kwanza polisi awe na loss report ya polisi (sina hakika na taratibu) then aende nayo NECTA akadai vyeti vingine. Gharama/ada ya kupata hivyo vyeti ni shs ngapi pale NECTA? Kuna taratibu nyingine za kupitia? Msaada tafadhali.

PS: Website ya NECTA haina maelezo yeyote. Nadhani JF ndio sehemu muafaka ya kupata jibu kwa haraka zaidi.
 
Hakuna cheti kipya kinachotolewa tena zaid ya kupewa statement of results.polen sana mkuu
 
iyo statement result mbona nasikia hawakupi moja kwa moja kuna jamaa yangu aliniambia wamemkatalia kumpa sasa inakua kupoteza vyeti ni sawa na kupoteza nyota
 
Back
Top Bottom