Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kwani hao watoto hawana wazazi kuamliwa la kufanya?Watoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa.
Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje ya ualimu mnatia aibu mpaka nafasi za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura mpoo.
Mnafosi watoto waje na buku Kila weekend wasipokuja nayo mnawapiga Sasa mtoto amepata wapi pesa, mmeshindwa kudai maslahi yenu hasira mnapeleka kwa watoto.
Kuweni na adabu
Hilo ni suala ambalo lipo na wanafunzi inapotokea imebidi wanaenda mpk jumapili shuleWatoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa.
Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje ya ualimu mnatia aibu mpaka nafasi za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura mpoo.
Mnafosi watoto waje na buku Kila weekend wasipokuja nayo mnawapiga Sasa mtoto amepata wapi pesa, mmeshindwa kudai maslahi yenu hasira mnapeleka kwa watoto.
Kuweni na adabu
Na jmosiWatoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa.
Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje ya ualimu mnatia aibu mpaka nafasi za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura mpoo.
Mnafosi watoto waje na buku Kila weekend wasipokuja nayo mnawapiga Sasa mtoto amepata wapi pesa, mmeshindwa kudai maslahi yenu hasira mnapeleka kwa watoto.
Kuweni na adabu
Wewe kujitoa wapi wewe watoto wanahitaji wapumzike ,hizo ni tamaa za hela tu kwa walimuSema bongo jau sana,
Yan mtu anajitoa kwa ajiili ya watoto wake, ila bado wazazi wake wanapiga kelele
Ijumaa wanaenda mkuu weekdays sio mbaya sema wawe na huruma wale diniyetu watoke mapema wakasqli maana ndio jpiliyaooNa ijumaa vipi?
Amandla...
Shule sio gereza, Kuna mda WA Mapumziko pia. Mda WA ibada na kusaidia wazazi kazi ni msingi wa malez kwa watoto kuliko shuleSema bongo jau sana,
Yan mtu anajitoa kwa ajiili ya watoto wake, ila bado wazazi wake wanapiga kelele
Sindoapo 🤣🤣🤣tumeenda chuo tumesoma madarasa hayahaya bila kuamshana saa 05am na tumefaulu sijui wanataka wafe mapema
Tatizo ni kuwa wakati wenzao wanaenda kuswali wengine wataendelea kusoma na hivyo kupunjika. Mimi ningeshauri Ijumaa iwe nusu siku kwa wote na muda wa shule siku nyingine uongezwe ili kufidia muda utakaopotea.Ijumaa wanaenda mkuu weekdays sio mbaya sema wawe na huruma wale diniyetu watoke mapema wakasqli maana ndio jpiliyaoo
Al muntanzir nakumbuka wote walikuwa off sijui kwingineTatizo ni kuwa wakati wenzao wanaenda kuswali wengine wataendelea kusoma na hivyo kupunjika. Mimi ningeshauri Ijumaa iwe nusu siku kwa wote na muda wa shule siku nyingine uongezwe ili kufidia muda utakaopotea.
Amandla...