gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 790
- 1,373
Kuanzia mwaka huu vyuo havita ruhusiwa kudahiri wanafunzi ambao hawajapitia jeshi (fresh fom the school) kama bunge lilivyo pitisha.
Ila utaratibu huu umelalamikiwa na wengi sana, Kwanza baadhi ya watu walioenda jeshini kimafunzo wamekufa bila sababu za msingi hii ni kutokana na kuzidiwa na mazoezi kupata vipigo na afya duni. Ubakwaji kwa dada zeu umekithiri huko kambini, hii ni kweli na naongea kwa uchungu mkubwa. Wenyewe wanasema eti mtu akifa mafunzoni unawaongezea thympahy hao makamanda na wanaweza wakapandishwa cheo.
Swali ni kuwa je nchi hii itaingia vitani hivi karibuni hadi ilazimu watu wasomi kulazimishwa jeshi au ndio kufundishana uzalendo? na uzalendo gani wa kuuwana na ku lazimisha ngono kwa dada zetu?
My take bunge liangalie upya utaratibu huu na ikiwezekana swala hili lisijirudie tena mwakani... nawasilisha