Muhubiri
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 140
- 120
Uzalendo haujengwi kwa kupitia mafunzo ya kijeshi, wapo wengi tu hapa ni wanajeshi hawana uzalendo hata kidogo, kukamatwa na bangi, pembe za ndovu, kupiga wazalendo, huu si uzalendo, labda tafsiri iwe imebadilika.
Huhitaji kufanya utafiti kujua kuwa mafunzo hayo hayana tija katika sala la uzalendo.Ni wavivu wa kufikiria ndio waidhani hivyo wakisahau kuwa wanaoongoza kwa tuhuma au hata kufahamika kwa UFISADI uliokubuhu walipitia mafunzo hayo.
Naona wanesema lengo ni kuongeza ukakamavu, manufaa mengine ni afya ya mtu, kama lakini yatakuwa yameboreshwa na hakuna mazingira ya kubaka au kulawiti, lazivyo yatakuwa ni mafunzo ambayo watajifunza mbinu za ubakaji, mbinu mpya za "kutia mimba' na zaidi ya yote itaongeza kama sio kukuza chuki kwa jeshi letu na wananchi. Pia watatusaidia kutujengea uwezo wa kukabiliana na vipigo vya polisi au watu wanapotaka kukung'oa meno.