Utaratibu

Joined
Jul 20, 2018
Posts
11
Reaction score
3
Jamani huu utaratibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haukiuki utaratibu uliowekwa na serikali wa 1/3 ya mshahara wa mtumishi ,utaratibu wa ukomo wa kukopa unafuatwa ?kama kuna MTU anafanya kazi benki au yeyeto mwenye uzoefu na hili jambo anisaidie . maana sasa HV MTU yuko nyumbani anakopa toka benki, Hanna kupitisha fomu iangaliwe na mwajili wake kama hajavuka ukomo wa kukopa
 
Wewe unashida gani kwa hilo bwana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…