J Joyceline JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 1,010 Reaction score 167 Oct 15, 2009 #41 mchajikobe said: Carmel,there is no need to react,as it takes a fool to react!,hapa unachotakiwa kufanya ni kuongeza ubunifu wa mapenzi ili jamaa atulie na wewe,hamna haja ya ku react wala kwenda kwa waganga dawa unayo mwenyewe,kujiamini tuu!!! Click to expand... mwanaume akiamua kucheat hata umpe nini hatulii
mchajikobe said: Carmel,there is no need to react,as it takes a fool to react!,hapa unachotakiwa kufanya ni kuongeza ubunifu wa mapenzi ili jamaa atulie na wewe,hamna haja ya ku react wala kwenda kwa waganga dawa unayo mwenyewe,kujiamini tuu!!! Click to expand... mwanaume akiamua kucheat hata umpe nini hatulii
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Oct 15, 2009 #42 Joyceline said: mwanaume akiamua kucheat hata umpe nini hatulii Click to expand... Acha masihara. Have you tried?
Joyceline said: mwanaume akiamua kucheat hata umpe nini hatulii Click to expand... Acha masihara. Have you tried?
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,861 Oct 15, 2009 #43 Joyceline said: mwanaume akiamua kucheat hata umpe nini hatulii Click to expand... ...kweli eeeh? hivi ni kwanini? 😀
Joyceline said: mwanaume akiamua kucheat hata umpe nini hatulii Click to expand... ...kweli eeeh? hivi ni kwanini? 😀
carmel JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 2,836 Reaction score 265 Oct 15, 2009 Thread starter #44 Chrispin said: Aaa wapi, hata uwaambie vipi hawatakuelewa. Click to expand... Kuna wanaume wameshindikana, hata uwape nini hawaelewi, kuwa na nyumba ndogo ni kama sala kwao, so hatuwezi kuelewa hii.
Chrispin said: Aaa wapi, hata uwaambie vipi hawatakuelewa. Click to expand... Kuna wanaume wameshindikana, hata uwape nini hawaelewi, kuwa na nyumba ndogo ni kama sala kwao, so hatuwezi kuelewa hii.