Utareact vipi?

Utareact vipi?

Carmel,there is no need to react,as it takes a fool to react!,hapa unachotakiwa kufanya ni kuongeza ubunifu wa mapenzi ili jamaa atulie na wewe,hamna haja ya ku react wala kwenda kwa waganga dawa unayo mwenyewe,kujiamini tuu!!!


mwanaume akiamua kucheat hata umpe nini hatulii
 
Aaa wapi, hata uwaambie vipi hawatakuelewa.

Kuna wanaume wameshindikana, hata uwape nini hawaelewi, kuwa na nyumba ndogo ni kama sala kwao, so hatuwezi kuelewa hii.
 
Back
Top Bottom