Doctor MD
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 209
- 249
Utasa ni hali ya wenza wawili wanapokutana kimwili kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kushika ujauzito kwa mwanamke
Leo ningependa niongelee utasa kwa mwanamke
Mwanamke katika jamii nyingi ndio huonekana tatizo endapo mimba isipotungwa, kiutafiti aslimia kubwa zaidi utasa katika wenza hutokana na mwanamke
Zifuatazo ni sababu zinazoweza pelekea mwanamke akawa tasa
1. UMRI
Moja ya sababu kubwa mno inayopelekea mwanamke kutopata ujauzito, mana umri unapozidi kusogea ndipo uwezo wake wa kuzalisha mayai kila mwezi hupungua kwa kila mwanamke, muhimu zaidi naongelea umri kuanzia miaka 35 na kuendelea kwa mwanamke.
2. UZITO USIO SAWIA
Mara zote mwanamke anapaswa awe na uzito sawia yani BMI 20-25 ili kuweza kuwa na afya Bora ya uzazi
Lakini msawazo hafifu yani uzito mdogo au uzito uliopitiliza kulingana na BMI hapo juu huweza kupelekea utasa kwa mana uzito huathiri mno utendaji wa homoni na uchakataji mbalimbali
3. Changamoto ya mfumo mzima wa kinga(immunological disorder)
Hizi huathiri mno utendaji wa selj za mwili mana Kuna wakati seli za mwili huua seli zingine na kuleta changamoto zaidi ya kukosa mtoto
4. Mfumo mzima wa mazingira
Matumizi ya vyakula mbalimbali kutoka shamba vilivyotiwa dawa huathiri mno utendaji wa Bora wa mfumo wa endocrine ili kutengeneza homoni hivyo kuleta shida ya utasa
5. Life style
Matumizi ya pombe, sigara, madawa ya kulevya na vinywaji vyenye caffeine(energy drink) huongeza disturbance ya homoni na kupelekea utasa
Hayo ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kupelekea utasa masomo mengine nitakuja eleza sababu zinazopelekea mimba kuharibika
Endelea kufuatana nami kwa uelewa zaidi kuhusiana na afya kwa ujumla
Na kama una changamoto ya afya ya uzazi,utasa n.k
Basi usisite kunitafta kupitia
Wasap/normal call
0757160773
By Dr. Msokwa MD