Utasa wazidi kuwa tishio chukua hatua hizi

Siku hizi Matatizo ya Utasa yamezidi sana.
Na why watoto wa kike wanazaliwa sana siku hizi??
 
Kutoshika mimba ni tofauti kabisa na mtu anayeshika mimba halafu akaharibu na pia ni tofauti kabsa na mtu anayezuia mimba
Hapo nmezungumzia mtu asiye na uwezo wa kushika mimba

Kama ni TASA hata ukiwa na miaka 18 hautoshika mimba ,UTASA ni kutokuwa na mayai kabisa kwa mwanamke au hitilafu kwenye mfumo wa uzazi ambao hautibiki au kutokuwa na mbegu kwa mwanamme.

Wewe umeweka risk factors za kutoshika mimba ndiyo maana ukasema Age ,matumizi ya pombe etc kwani mtu ambaye ni TASA asipokunywa atashika? Au ambaye sio TASA akinywa ashiki mimba? Maana wanawake walevi wengi wana watoto.
 
Oooh thanks for your contribution
 
Hivi wewe ni daktari kweli? Unashindwa kutofautisha utasa na ugumba?
Kifupi huo utasa unaoongelea wewe hautibiki kabisa unashangaza unavyosema unaweza kutibu utasa
 
Hivi wewe ni daktari kweli? Unashindwa kutofautisha utasa na ugumba?
Kifupi huo utasa unaoongelea wewe hautibiki kabisa unashangaza unavyosema unaweza kutibu utasa
Nadhani ni ule ufinyu tu mawazo karibu utibike kama una tatizo Hilo
 
Infertility ni utasa na utasa ni nini zaidi??
Kuweni serious bus guys
Mimi nlichozungumzia Leo ni utasa
 
Utasa unatibika
 

Attachments

  • Screenshot_20240915-122953.jpg
    25.8 KB · Views: 2
Kurogwa pia kumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…