BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Habari,
Kwa wale wataalamu wa biashara, hivi biashara yako inatakiwa itoe faida kiasi gani ukilinganisha na pesa ulivyo invest (in terms of percentage).
Kwa mfano, mimi nina biashara yangu ambayo nimeinvest shilingi milion saba na katika biashara hii faida ninayopata baada ya kuondoa gharama zote ni shilingi laki tatu na nusu tu (net profit) kwa mwezi. Kwa maana ya kwamba faida ninayopata ni asilimia tano ya pesa niliyowekeza, je? biashara hii inatoa faida nzuri?
Ni net profit ya asilimia ngapi inatakiwa kuwiana na mtaji ili useme biashara hii inatoa faida nzuri?
Asanteni sana wakuu.
Mkuu nakiri faida ni vema ikipimwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.. Hyo 350k kwa mwaka nafikiri ni 4.2mil ambayo nafikiri ni faida nzuri sanaHabari,
Kwa wale wataalamu wa biashara, hivi biashara yako inatakiwa itoe faida kiasi gani ukilinganisha na pesa ulivyo invest (in terms of percentage).
Kwa mfano, mimi nina biashara yangu ambayo nimeinvest shilingi milion saba na katika biashara hii faida ninayopata baada ya kuondoa gharama zote ni shilingi laki tatu na nusu tu (net profit) kwa mwezi. Kwa maana ya kwamba faida ninayopata ni asilimia tano ya pesa niliyowekeza, je? biashara hii inatoa faida nzuri?
Ni net profit ya asilimia ngapi inatakiwa kuwiana na mtaji ili useme biashara hii inatoa faida nzuri?
Asanteni sana wakuu.
Nadhani Biashara Inachohitaji Ni Faida Tuuaa, Haijalishi Ni Asilimia Ngapi Hata Kama Ni Moja Inatoshea! Ila Kwa Mbinu Mbalimbali Ile Asilimia Moja Au Zaidi Nayo Unaiweka Kwenye Mzunguko Mwisho Wa Siku Faida Inakua Juu Ya Faida.
Shukuru hata hiyo wengine inakuja negative.
Mkuu nakiri faida ni vema ikipimwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.. Hyo 350k kwa mwaka nafikiri ni 4.2mil ambayo nafikiri ni faida nzuri sana
Sina uhakika kama unaweza kutengeneza faida kabla pesa ya mtaji haijarudi ( break even)
Unachokipata unalipa monthly operation cost + serving investment cost.
Kuna mambo ya kuzingatia hapo kwanza unamuda gani katika biashara hiyo! Kama ndo unaanza hata mwaka hujamaliza ni nzuri kwani kunakipindi cha kutafuta wateja, Unidhi mahitaji yao na wakuamini! Sifanyi biashara nimafikiri binafsi tusubiri watalamu waje!
Sina uhakika kama unaweza kutengeneza faida kabla pesa ya mtaji haijarudi ( break even)
Unachokipata unalipa monthly operation cost + serving investment cost.
Biashara ina zaidi ya mwaka na hiyo 7m ni pesa ya bidhaa na baadhi ya vitu kama vya kutendea kazi kama mashine nkLabda, niulize maswali kabla ya kujibu! Hiyo 7M ni pesa ya bidhaa tu? Na una muda gan tangu uanze hiyo biashara!
Kama unachini ya mwaka mmoja hiyo faida ni sahihi ukizingatia ushatoa, pango ya jengo gharama ya mfanyakazi na msimamia kazi(wewe)
Ila kuanzia mwaka 1/2 thaman ya bidhaa iongezeke kutokana na kuongezeka kwa jina lako bila wewe kuongeza mtaji!