Utasemaje biashara hii inatoa faida nzuri?

Utasemaje biashara hii inatoa faida nzuri?

Ila kwa kifupi sana, hapo hupati faida yeyote. Unaganga njaa tu, au kwa lugha nyingine ni km umeweka hela yako sehemu halafu unakula kidogo kidogo hadi ziishe!

Nitakuja baadaye......!

Kwanini unasema hivyo mkuu? biashara inazaidi ya mwaka na kwa mwaka mmoja ninapata net profit ya 4.2 M wakati ile 7M yangu ipo pale pale na nilishabreak even, naomba elimu hiyo please.
 
mliosoma bcom, uchumi na business administration karibuni mchangie mawazo yenu
 
Ili kupata faida nikuhakikisha mtaji wako uliowekeza umerudi!kinachotakiwa ni kuwa na hiyo 7ml cash tangia uanze na biashara haijayumba!kamwe huwezi kupata faida kama mtaji wako haujarudi!mfano umeleta la viatu na wewe umenunua Elfu 10 kila kimoja na kuna pea 2500,ukiuza pesa moja kwa 18 Elfu na kwa siku unauza pea 10 usiseme unapata faida ya 80 elfu kwa siku wakati mzigo haujaisha,pesa yako haijarudi na itachukua muda gani kumaliza mzigo n.k,nadhani utanielewa kidogo kwa mfano huu
 
Mkuu nakiri faida ni vema ikipimwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.. Hyo 350k kwa mwaka nafikiri ni 4.2mil ambayo nafikiri ni faida nzuri sana

Habari,

Kwa wale wataalamu wa biashara, hivi biashara yako inatakiwa itoe faida kiasi gani ukilinganisha na pesa ulivyo invest (in terms of percentage).

Kwa mfano, mimi nina biashara yangu ambayo nimeinvest shilingi milion saba na katika biashara hii faida ninayopata baada ya kuondoa gharama zote ni shilingi laki tatu na nusu tu (net profit) kwa mwezi. Kwa maana ya kwamba faida ninayopata ni asilimia tano ya pesa niliyowekeza, je? biashara hii inatoa faida nzuri?

Ni net profit ya asilimia ngapi inatakiwa kuwiana na mtaji ili useme biashara hii inatoa faida nzuri?

Asanteni sana wakuu.

Sio mbaya hio faida kama alivyo kwambia alie nitangulia faida ya mwaka ni nzuri lakini faida hio isiwe inaishia tumboni, uwepo hakiba ili uweze kuitumia katika kuitanua biashara yako.

Jengine ni kwamba siku zote biashara unapo anza huwa kama mtoto mchanga, huanza kutambaa, kusimamia, kutoa hatua, kutembea.

So unacho takiwa ufahamu hilo, learn from your customers what they need, nini wanahitaji most na vile ambavyo huna, qualities ikiwemo, low prices or higher price, pia soma kwa wateja wako nini hawahitaji, pengine ndani ya hio business ulio nayo vyangine sio demand yao, vipo tu katika business.

Hapo mkuu utapiga hatua kubwa.
 
Ili kupata faida nikuhakikisha mtaji wako uliowekeza umerudi!kinachotakiwa ni kuwa na hiyo 7ml cash tangia uanze na biashara haijayumba!kamwe huwezi kupata faida kama mtaji wako haujarudi!mfano umeleta la viatu na wewe umenunua Elfu 10 kila kimoja na kuna pea 2500,ukiuza pesa moja kwa 18 Elfu na kwa siku unauza pea 10 usiseme unapata faida ya 80 elfu kwa siku wakati mzigo haujaisha,pesa yako haijarudi na itachukua muda gani kumaliza mzigo n.k,nadhani utanielewa kidogo kwa mfano huu

Acha kupotosha!!
 
Sio mbaya hio faida kama alivyo kwambia alie nitangulia faida ya mwaka ni nzuri lakini faida hio isiwe inaishia tumboni, uwepo hakiba ili uweze kuitumia katika kuitanua biashara yako.

Jengine ni kwamba siku zote biashara unapo anza huwa kama mtoto mchanga, huanza kutambaa, kusimamia, kutoa hatua, kutembea.

So unacho takiwa ufahamu hilo, learn from your customers what they need, nini wanahitaji most na vile ambavyo huna, qualities ikiwemo, low prices or higher price, pia soma kwa wateja wako nini hawahitaji, pengine ndani ya hio business ulio nayo vyangine sio demand yao, vipo tu katika business.

Hapo mkuu utapiga hatua kubwa.

mchango mzuri but haujajibu swali
 
Sina uhakika kama unaweza kutengeneza faida kabla pesa ya mtaji haijarudi ( break even)

Unachokipata unalipa monthly operation cost + serving investment cost.

mwongo!! unampotosha mwenzio
 
Kwanza namshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema na baraka kwa kupata bahati ya kipekee kulijobu swali hili. Najisikia fahari, furaha, amani na upendo usiomithilika nikikutana na suala lolote lihusu pesa. Then, naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa sana nimjibu mkuu NYOSSO

...................................
Kabla sijakujibu swali lako, naomba nikupe mwangaza kidogo kuhusu namna faida inapotengenezwa!

Biashara ina nguzo kuu tatu: Assets, Liability na Expenses.

Daaaaaa........chaji imekata kwenye smartphone. Will be back baadaye kidogo!

ukishamjibu uniite nije kuboresha jibu lako
 
Last edited by a moderator:
Paddy toa majibu mkuu kuliko kuishia kukosoa tu
 
Last edited by a moderator:
Paddy toa majibu mkuu kuliko kuishia kukosoa tu
 
Last edited by a moderator:
mchango mzuri but haujajibu swali

mwongo!! unampotosha mwenzio

usifikirie vitu vya kitaalamu

ukishamjibu uniite nije kuboresha jibu lako

Nashindwa kukuelewa mkuu naona una kosoa sana hivi ulitaka apewe majibu gani? Kila mtu ana maoni tofauti, kwa maana hio anaweza kupata jibu ya biashara yake.

Mkuu

Huwezi kumwambia straight kuwa hii biashara haifai or faida ni ndogo, ni kuvunja moyo huyu mtu, kwanza hajaeleza biashara ya aina gani, kitu cha pili, unapo anza biashara inategemea na biashara hio vipi ume investment, kwa mfano biashara ya chakula, unaweza kutia mzigo dukani milioni kumi, lakini ikawa mzigo ule huwezi kuuza wote, pengine almost kubaki kwenye frame. Ikawa asilimia 30 ndio ipo kwenye biashara or 20 tu kutokana na biashara ilivyo anza.

Mfano wa pili tuchukulie biashara ya kiwanda cha kusaga mahindi, milioni 7 zimetumika kununua mashine, kulipa kodi, umeme, pengine faida yake milioni moja, ulipe mlango, ulipe umeme, kodi nyengine, unakuta pesa ya mwezi ndo hio.

Kwa mantiki hiyo, hio pesa ni kubwa kama gharama nyengine zimelipwa, nazani tuwe more specific
 
Sina uhakika kama unaweza kutengeneza faida kabla pesa ya mtaji haijarudi ( break even)

Unachokipata unalipa monthly operation cost + serving investment cost.

Tuvunjie kwa lugha rahisi Kiongozi
 
Back
Top Bottom