BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
- Thread starter
-
- #21
Ila kwa kifupi sana, hapo hupati faida yeyote. Unaganga njaa tu, au kwa lugha nyingine ni km umeweka hela yako sehemu halafu unakula kidogo kidogo hadi ziishe!
Nitakuja baadaye......!
Nina uelewa na swali lakp, sema nimebanwaa, nikiwa free nitakujibu vemaa!!!
bado umebanwa?!!
Mkuu nakiri faida ni vema ikipimwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.. Hyo 350k kwa mwaka nafikiri ni 4.2mil ambayo nafikiri ni faida nzuri sana
Habari,
Kwa wale wataalamu wa biashara, hivi biashara yako inatakiwa itoe faida kiasi gani ukilinganisha na pesa ulivyo invest (in terms of percentage).
Kwa mfano, mimi nina biashara yangu ambayo nimeinvest shilingi milion saba na katika biashara hii faida ninayopata baada ya kuondoa gharama zote ni shilingi laki tatu na nusu tu (net profit) kwa mwezi. Kwa maana ya kwamba faida ninayopata ni asilimia tano ya pesa niliyowekeza, je? biashara hii inatoa faida nzuri?
Ni net profit ya asilimia ngapi inatakiwa kuwiana na mtaji ili useme biashara hii inatoa faida nzuri?
Asanteni sana wakuu.
Ili kupata faida nikuhakikisha mtaji wako uliowekeza umerudi!kinachotakiwa ni kuwa na hiyo 7ml cash tangia uanze na biashara haijayumba!kamwe huwezi kupata faida kama mtaji wako haujarudi!mfano umeleta la viatu na wewe umenunua Elfu 10 kila kimoja na kuna pea 2500,ukiuza pesa moja kwa 18 Elfu na kwa siku unauza pea 10 usiseme unapata faida ya 80 elfu kwa siku wakati mzigo haujaisha,pesa yako haijarudi na itachukua muda gani kumaliza mzigo n.k,nadhani utanielewa kidogo kwa mfano huu
Sio mbaya hio faida kama alivyo kwambia alie nitangulia faida ya mwaka ni nzuri lakini faida hio isiwe inaishia tumboni, uwepo hakiba ili uweze kuitumia katika kuitanua biashara yako.
Jengine ni kwamba siku zote biashara unapo anza huwa kama mtoto mchanga, huanza kutambaa, kusimamia, kutoa hatua, kutembea.
So unacho takiwa ufahamu hilo, learn from your customers what they need, nini wanahitaji most na vile ambavyo huna, qualities ikiwemo, low prices or higher price, pia soma kwa wateja wako nini hawahitaji, pengine ndani ya hio business ulio nayo vyangine sio demand yao, vipo tu katika business.
Hapo mkuu utapiga hatua kubwa.
Sina uhakika kama unaweza kutengeneza faida kabla pesa ya mtaji haijarudi ( break even)
Unachokipata unalipa monthly operation cost + serving investment cost.
Mkuu nakiri faida ni vema ikipimwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.. Hyo 350k kwa mwaka nafikiri ni 4.2mil ambayo nafikiri ni faida nzuri sana
Kwanza namshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema na baraka kwa kupata bahati ya kipekee kulijobu swali hili. Najisikia fahari, furaha, amani na upendo usiomithilika nikikutana na suala lolote lihusu pesa. Then, naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa sana nimjibu mkuu NYOSSO
...................................
Kabla sijakujibu swali lako, naomba nikupe mwangaza kidogo kuhusu namna faida inapotengenezwa!
Biashara ina nguzo kuu tatu: Assets, Liability na Expenses.
Daaaaaa........chaji imekata kwenye smartphone. Will be back baadaye kidogo!
mchango mzuri but haujajibu swali
mchango mzuri but haujajibu swali
mwongo!! unampotosha mwenzio
usifikirie vitu vya kitaalamu
ukishamjibu uniite nije kuboresha jibu lako
Sina uhakika kama unaweza kutengeneza faida kabla pesa ya mtaji haijarudi ( break even)
Unachokipata unalipa monthly operation cost + serving investment cost.