Utashangaa bado kuna Watu huko Msibani Kwake leo watakuwa Wanamlilia hadi Kugalagala chini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo mjini Kasulu.

Chanzo: itvtz

Nikienda kuaga Maiti za Wapuuzi kama huyu siishii tu Kuaga bali nitavizia Sionekani kisha Namzaba bonge la Kofi Olomide.
 
Haa Comrade Apumzike Kwa Amani

Kiganamo Haa Maeneo Yangu Kuna Shule Ya Msingi, Kituo Cha Afya Na Barabara Kuu Kwenda/Kutoka Kibondo, Halmashauri Juu Kule
 
Nachukia wezi kuliko jambazi...hata gerezani jambaz anaheshimika kuliko mwizi...
Mkuu tofauti ya mwizi na jambazi ni muda tu wa kufanya matukio. Anayevunja nyumba mchana ili aibe anaitwa mwizi na anayevunja nyumba kuanzia saa 1 usiku, huyo ni jambazi. Ndio utofauti wa mwizi na jambazi. Sijui, watu wanaheshimu giza sasa?
 
Mkuu, shule naipata jukwaani hapa. Kwa faida ya wote, naomba unifunze hapa nijue tofauti ya wizi na ujambazi.
Mkuu kama upo jukwaani basi ni vyema nikufahamishe hiz mada zimeshajadiliwa sana...nikukumbushe tuu kupitia jukwaan hapa pitia nyuz mbali mbali usipo elewa nitakuelewesha
 
Mtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo mjini Kasulu.

Chanzo: itvtz

Nikienda kuaga Maiti za Wapuuzi kama huyu siishii tu Kuaga bali nitavizia Sionekani kisha Namzaba bonge la Kofi Olomide.
Najaribu kutafuta maana usije kuwa mbuyu ila umeleta ktk lugha ya picha
 
Mtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo mjini Kasulu.

Chanzo: itvtz

Nikienda kuaga Maiti za Wapuuzi kama huyu siishii tu Kuaga bali nitavizia Sionekani kisha Namzaba bonge la Kofi Olomide.
Mkuu thamani uhai. Aliyekufa ni binadamu kama wewe siyo mnyama.
 
Mkuu kama upo jukwaani basi ni vyema nikufahamishe hiz mada zimeshajadiliwa sana...nikukumbushe tuu kupitia jukwaan hapa pitia nyuz mbali mbali usipo elewa nitakuelewesha
Si ujibu tu kama unajuwa kuliko kuzungukazunguka. Wekapo basi hata linki.
 
Back
Top Bottom